Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani
1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.
Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.
View attachment 2512583
Kweli Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko makubwa kila sekta hasa upande huu wa siasa ameupiga mwingi sana sasa wapinzani hawana wasiwasi wowoteNi kweli
Waendelee hivyo hivyo kumsifia huku wakila asali. Siku wakianza kuongea hoja ndio itakuwa mwisho wa urafiki na huyo mama.Kweli Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko makubwa kila sekta hasa upande huu wa siasa ameupiga mwingi sana sasa wapinzani hawana wasiwasi wowote
Hongera Samia. Uongozi ni akili, busara na karama. Wala siyo maguvu na matusi kama Magufuli alivyokuwa anaharibu nchiMakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani
1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.
Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.
View attachment 2512583
Ww ulikuwa na vyeti fake kama sio nyumba ndogo ya Mzee Makamba.Hongera Samia. Uongozi ni akili, busara na karama. Wala siyo maguvu na matusi kama Magufuli alivyokuwa anaharibu nchi
NonsenseMakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani
1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.
Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.
View attachment 2512583
😅😅😅Ni jambo jema
Ila Chadema siyo wa kuwaamini sana!
KisiraniNonsense
KabisaHongera Samia. Uongozi ni akili, busara na karama. Wala siyo maguvu na matusi kama Magufuli alivyokuwa anaharibu nchi
👍👍..huo ni mwanzo.
..hitimisho linatakiwa kuwa mambo matatu.
1. Katiba Mpya na Bora.
2. Tume Huru ya Uchaguzi.
3. Tume ya Ukweli Haki na Maridhiano
Wakizembea wakidhani Katiba Mpya itamsaidia Mpinzani kitawakuta kilichowakuta very soon.Hakuna namna rais Samia angeweza kuacha kubadilosha upepo wa kisiasa kwa kuamua kufanya maridhiano, kuunda katiba mpya na kuunda tume huru ya uchaguzi.
Hii ni kwasabb dikteta amewatesa sana Watanzqnia na hata wanasisiemu wenzake kwa kutumia katiba hii mbovu. Wanaccm pia hawataki ujirudie Udikteta wa dikteata Mungu wa sukuma gang
Halafu yeye Tundu Lissu akiingia atakuja badilisha upepo huo.Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani