Nchi aliiharibu Kikwete na ndio maana wakajikuta wanampa nchi Magufuli ambaye hakuwa na nguvu yeyote kwenye chama kuweza kupata nafasi ile. Ilifika muda hii nchi wakati wa Kikwete watu walitamani Rais Dikteta kwa jinsi nchi ilivyoharibiwa na kuwa shamba la bibi.Hongera Samia. Uongozi ni akili, busara na karama. Wala siyo maguvu na matusi kama Magufuli alivyokuwa anaharibu nchi
Wenzako wanafurahia hawajui masilahi ya wananchi ni yapi na masilahi ya wanasiasa ni yapi.Tunachotaka wanainchi ni unafuu wa maisha kwa kila mwanaichi na sio unafuu kwa wanasiasa kwa maslahi yao.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Basi Magufuli kafanya vizuri kama asingewatesa na ccm basi hayo yasingefikiriwa kufanyika.Hakuna namna rais Samia angeweza kuacha kubadilosha upepo wa kisiasa kwa kuamua kufanya maridhiano, kuunda katiba mpya na kuunda tume huru ya uchaguzi.
Hii ni kwasabb dikteta amewatesa sana Watanzqnia na hata wanasisiemu wenzake kwa kutumia katiba hii mbovu. Wanaccm pia hawataki ujirudie Udikteta wa dikteata Mungu wa sukuma gang
Watu wanalia Hali gumu nyie munasema ametengeneza Tanzania ili uamini hakuna alicho kifanya subili 2025 hapo ndo utaamin kwann napinga Hilo amenufaisha San watu wenye maendeleo na kuwanyonga watu wenye kipato cha chin kwako wewe utaona katengeneza Tanzania watu weng wataona Kaharibu TanzaniaMakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani
1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.
Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.
View attachment 2512583
Yuko sahihi kabisaMakamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani
1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.
Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.
View attachment 2512583
Punguza ujuha Jo na roho mbaya kumzidi ibilisiNi jambo jema
Ila Chadema siyo wa kuwaamini sana!
Tunachotaka wanainchi ni unafuu wa maisha kwa kila mwanaichi na sio unafuu kwa wanasiasa kwa maslahi yao.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kwahiyo sasa wapinzani hawapigani wananchi tena bali hujali masilahi yao ya kisiasa?Wananchi jipiganieni mpate huo unafuu, wanasiasa wamejipigania ndio wakapata huo unafuu. Wananchi mmekaa hamfanyi jitihada yoyote mnasubiri mpiganiwe!
Kabisa !!..huo ni mwanzo.
..hitimisho linatakiwa kuwa mambo matatu.
1. Katiba Mpya na Bora.
2. Tume Huru ya Uchaguzi.
3. Tume ya Ukweli Haki na Maridhiano.
Samia hawezi kuwakanya hao mawaziri wake wenye kujibu majibu ya dharau kwa wananchi?Ni kweli. Na watanzania ni watu wa kuridhika sana. Hakika wameridhika na uongozi wa mama. Kidogo yale mambo ya tozo yalitaka kumwangusha. Sijui jamaa alifanya makusudi ili kumharibia mama?. Na akachochea ghadhabu za watu kwa kuwaambia kuwa asiyetaka tozo ahamie Burundi. Ila mama Samia anastahili pongezi. Anaponya vidonda vya wahanga, ingawa makovu yataendelea kuonekana.
Kwahiyo sasa wapinzani hawapigani wananchi tena bali hujali masilahi yao ya kisiasa?
Kama unaona mtu mjinga mpe elimu ili kumtoa huko kwenye ujinga.Niliyemquote nimempa jibu linaloendana na ujinga wake.
Kwann usiupiganie huo unafuu kama wanasiasa weshapigania unafuu wao? Au unataka wakupiganie?Tunachotaka wanainchi ni unafuu wa maisha kwa kila mwanaichi na sio unafuu kwa wanasiasa kwa maslahi yao.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kama unaona mtu mjinga mpe elimu ili kumtoa huko kwenye ujinga.
Lissu na mbowe kwisha habari yao, wamefikia bei sasa rasmi wameungana na wenzao kina Juakali, Kafulila na wengine, mbowe ilibidi atimkie Ikulu ili atoke jela, Tanzania upinzani bado sana ili kuingoa ccm madarakani.Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani
1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.
Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.
View attachment 2512583
Ameshairaba asali zamani toka walipoona na mama kule belgium sasa ni maigizo tuAsaliii
Hakuna myanzania hata mmoja aliye na cheti fake zile zilikiwa fix za jpm kupunguza wafanyakazi tu baada ya kuona serikali Haina helaWw ulikuwa na vyeti fake kama sio nyumba ndogo ya Mzee Makamba.