Lissu anasema Rais Samia amebadilisha upepo wa kisiasa

Hakuna myanzania hata mmoja aliye na cheti fake zile zilikiwa fix za jpm kupunguza wafanyakazi tu baada ya kuona serikali Haina hela

Haina hela wakati ananunua ndege,madaraja yanajengwa,barabara zinajengwa jwa lami mpka mitaani kwetu Tandale,Ubungo exchange imejengwa imeisha....chief ww macho yako yamefunikwa na kitu Gani?
 
Chadema wanaamini wao ndio chama pekee cha upinzani Tanzania, wakifanya wenzao kosa ila wakifanya wao si tatizo.
 
Haina hela wakati ananunua ndege,madaraja yanajengwa,barabara zinajengwa jwa lami mpka mitaani kwetu Tandale,Ubungo exchange imejengwa imeisha....chief ww macho yako yamefunikwa na kitu Gani?
Alikuwa anavamia account binafsi za watu bank ndo analipa. Yule alikuwa mwizi sana. Ndoana Samia anawarudishia pesa zao waliodhulumiwa enzi hizo. Nimtodi mkono kachukuliea pesa zote kwenye accounts m alimbali na amepalalise mwili mzima yupo pale nyumbani kwake masaki hatoki ndani kabisa jpm kaua wengi kwa mastress tu.
 
Ww ulikuwa na vyeti fake kama sio nyumba ndogo ya Mzee Makamba.
Kwa taarifa yako kuwa na cheti feki hakunizuii kutoa mawazo yangu ingawa Mimi siyo cheti feki.

Pili hata Magufuli PhD yake ni feki!!
 
Huo upepo umebadilika kwenye mifuko yake.
 
Halafu yeye Tundu Lissu akiingia atakuja badilisha upepo huo.
Atatufanya tukubali Tamaduni na maadili za "Waliotudhalimu" kwa karne....'Wazungu'

Tujiandae na Udikteta uchwara wa Lidikteta Tundu Lissu.
Huyu hawezi kuwa Rais hata kwa dawa may be agombee ubunge tupo na Rais Samia Suluhu mpaka 2030
 
Tunachotaka wanainchi ni unafuu wa maisha kwa kila mwanaichi na sio unafuu kwa wanasiasa kwa maslahi yao.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
MIKAKATI KUPUNGUZA BEI YA CHAKULA
Rais Samia ameweka Ruzuku ya pembejeo za kilimo
amefanikisha kilimo cha umwagiliaji
ameboresha miundombinu ili kupunguza gharama ya usafiri
Rais Samia anaendelea na jitihada hizi ili kupunguza bei ya chakula tutarajie msimu ujao wa mavuno kununua chakula kwa gharama nafuu zaidi
 
Kwa taarifa yako kuwa na cheti feki hakunizuii kutoa mawazo yangu ingawa Mimi siyo cheti feki.

Pili hata Magufuli PhD yake ni feki!!
Avatar yako inaonyesha tu kichwani na rohoni ulivyo..
 
Wewe alivamia acount yako akachukua hela yako,hacheni kutumika vibaya na mafisadi kijana matokeo utayaona wewe ila vizazi vyako ndo vitaumia kwa ujinga wako.
Ata kama alikuwa anachukua hela za watu na kuzifanyia kazi ila mm nna uhakika ni zile za watu waliokua wanakwapua fedha na kuuza mali za umma,Mama samia anafanya hivyo kwa msukumo wa Gang la wanaolamba Asali.
 
Nenda china utaziona alikokuwa anazificha.
 
Nenda china utaziona alikokuwa anazificha.
Kama ww ni mwanasiasa fanyeni siasa za mantiki na faida huku mkifundisha mshikamano na kuheshimiana.....ila huu ujinga mbaleta wa kuchonganisha mnataka kutuletea mauji ya kimbalei na sisi hatuka tayari.
 
Rais ndo kasema kwamba jpm ameficha Pesa china siyo kauli yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…