Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior.

Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone.

Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye keybord tu.
 
Na nyumbu wa Sultan Mbowe ujasiri wao uko wapi? Maana na wao wako humu wewe ukiwa mmoja wao.
 
Na kweli amevimba kichwa! If I were Mbowe, I would have dismissed him as of today!
 
Take an example, Maria spaces zake zimesaidia nini katika politics za tanzania...zimemtikisa nani? sana sana anaishia tutaelewana tu! zina impact gani? .porojo tu za keyboard warriors! led by maria
 
Mbowe usisubiri kura, futa uchaguzi...kuwa kama Jecha!
 
We ni mpumbavu lissu anafaa kuongoza hata ukoo wenu wote awatoe ujinga, key boar warrior // !!! Hao wa Mbowe wako wapi si Kwa social media ,mjomba wenu lazima aachie chama au kimfie just two options.
 
Lisu hafai kuwa mwenyekiti wa chama Chochote Cha siasa
 
Wewe ni keybord nini?
 
Watu wanagombania uongozi na wakipata wanajaza matumbo yao tu
Hakuna anaewajali wananchi katika nchi masikini
Hata alie na kugaragara wote ni wale wale tu
Msiwaamini wanafiki hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…