Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

We ni mpumbavu lissu anafaa kuongoza hata ukoo wenu wote awatoe ujinga, key boar warrior // !!! Hao wa Mbowe wako wapi si Kwa social media ,mjomba wenu lazima aachie chama au kimfie just two options.
Huo uko labda wa mashoga.
 
Kukodi ukumbi kwa masaa ya mkutano wa CDM gharama yake inawezavuka ata tsh 15 million kwa siku.

Mikutano ya CDM inaanza tarehe 9 January, non-stop mpaka tarehe 23.

Bado gharama zingine za uchaguzi na operation expenses za chama zipo pale pale.

Saidia basi na wewe kidogo kufanya huo uchaguzi, anajibu ujinga tu. Anadhani raisi.

Lissu akishinda anaenda ivuruga CDM hana analoweza zaidi ya kuropoka tu.
 
Lissu hawajui watanzania kabisa kabisa. Anaishi ndotoni.

Hakumbiki hata Mange alivyokuwa anajitahidi kuhamasisha maandamano anapata sapoti mitandaoni ila on ground mambo tofauti.

Wakati Fulani tulipokuwa chuo, kikundi Fulani kikataka kupindua uongozi uliopo maana haukufuatilia kwa makini mkopo Toka bodi na wengi walikuwa hawajapata. Kwahiyo wakahamasishana na kutiana morali huko nje sasa kiongozi wa kikundi akasema watu wote waingie wakae nyuma kwenye kikao halafu yeye ataenda mbele na kutangaza mapinduzi then watu wa nyuma waoige kelele kumsapoti. Duh!🤣😂🤣 Ilifanyika hivyo lakini hakuna mtu hata mmoja nyuma alipiga zile oya oya walizopanga. Jamaa Yuko mbele ashatangaza hali ya hatari na mapinduzi juu😂🤣🤣🤣 jeshi hana. Watu kimyaaa. Aliingia aibu ya Karne na kuonekana na uongozi kuwa kumbe huyu ndio mbaya....

Mambo ya oya oya yanafaa KENYA hapo. Tanzania na Uganda tumelala.
 
Wanasiasa wa Afrika akili zao zinafanana na wote matamanio yao ni matumbo na familia zao
 
Take an example, Maria spaces zake zimesaidia nini katika politics za tanzania...zimemtikisa nani? sana sana anaishia tutaelewana tu! zina impact gani? .porojo tu za keyboard warriors! led by maria
Toka zamani mbona tulikuwa tunawaambia wapiga kura hawapo mitandaoni mkawa mnakaza mafuvu?

Machadema mnakula matapishi yenu wenyewe!
 
Kukodi ukumbi kwa masaa ya mkutano wa CDM gharama yake inawezavuka ata tsh 15 million kwa siku.

Mikutano ya CDM inaanza tarehe 9 January, non-stop mpaka tarehe 23.

Bado gharama zingine za uchaguzi na operation expenses za chama zipo pale pale.

Saidia basi na wewe kidogo kufanya huo uchaguzi, anajibu ujinga tu. Anadhani raisi.

Lissu akishinda anaenda ivuruga CDM hana analoweza zaidi ya kuropoka tu.
Well said mkuu. Yaani ni kiazi Fulani hivi. Anadhani chama kinaendeshwa kwa maneno. Hajui ni gharama sana kuendesha chama cha siasa Africa maana hata wachangiaji wa kuinua chama kiuchumi Huwa wanaogopa maana watafungiwa mirija Yao ya riziki.

Na hata wazungu hawataweza kimsapoti kiivyo hadi labda yeye ungekuta ana miradi yake ya maana na mizito ambapo itakuwa rahisi mfadhili kuchaneli hela kupitia huko.

Sasa anaambiwa achangie anasema sio lazima.

Let say Mbowe ameshindwa na Lissu amechukua kiti how long will he last. Atatoa wapi operating cost za chama.

Atakigeuza hiki chama kuwa cha mfukoni kama UDP au Chauma. Tena Bora hivyo wenyeviti wake ni watu wazito mifukoni. Huyu kapuku anaenda kuiua chadema.
 
Pesa ya Chama iko kwenye account ya Mbowe, sasa ni muda wa chama kuwa huru chini ya mwenyekiti mpya Lissu
 
Lissu hawajui watanzania kabisa kabisa. Anaishi ndotoni.

Hakumbiki hata Mange alivyokuwa anajitahidi kuhamasisha maandamano anapata sapoti mitandaoni ila on ground mambo tofauti.

Wakati Fulani tulipokuwa chuo, kikundi Fulani kikataka kupindua uongozi uliopo maana haukufuatilia kwa makini mkopo Toka bodi na wengi walikuwa hawajapata. Kwahiyo wakahamasishana na kutiana morali huko nje sasa kiongozi wa kikundi akasema watu wote waingie wakae nyuma kwenye kikao halafu yeye ataenda mbele na kutangaza mapinduzi then watu wa nyuma waoige kelele kumsapoti. Duh!🤣😂🤣 Ilifanyika hivyo lakini hakuna mtu hata mmoja nyuma alipiga zile oya oya walizopanga. Jamaa Yuko mbele ashatangaza hali ya hatari na mapinduzi juu😂🤣🤣🤣 jeshi hana. Watu kimyaaa. Aliingia aibu ya Karne na kuonekana na uongozi kuwa kumbe huyu ndio mbaya....

Mambo ya oya oya yanafaa KENYA hapo. Tanzania na Uganda tumelala.
Unamshauri lissu amwachie mbowe ndiyo anaweza kuhamasisha watu
 
Pesa ya Chama iko kwenye account ya Mbowe, sasa ni muda wa chama kuwa huru chini ya mwenyekiti mpya Lissu
Si muanzishe chama kama zitto kabwe. Au nendeni chauma kama mko wengi au UDP.

Mnataka chadema muiue then muinue miguu juu. Mtu mweusi ni mjinga sana.
 
Unamshauri lissu amwachie mbowe ndiyo anaweza kuhamasisha watu
Kwani kuanzisha chama shilingi ngapi?

Anzisheni chenu na kura za urais mumpe kwa wingi mchukue nchi.
 
Si muanzishe chama kama zitto kabwe. Au nendeni chauma kama mko wengi au UDP.

Mnataka chadema muiue then muinue miguu juu. Mtu mweusi ni mjinga sana.
Zitto alikuwa dhaifu, tunataka Lissu awe mwenyekiti maana ni mtu wa kazi ,anae ua chama ni yule anaekumbatia kiti kwa zaidi ya miaka 15 akila pesa ya chama kwa account yake binafsi
 
Hiyo Hela ya chama wewe ndio unaiwekaga au unajua inatoka wapi. Hebu weka vielelezo hapa na ripoti ya CAG tupitie.
 
Kuna nini mbona maccm wanahangaika na Lissu, kwani Lissu akiwa mwenyekiti mnaogopa nn tofauti na Mbowe ?
 
Hiyo Hela ya chama wewe ndio unaiwekaga au unajua inatoka wapi. Hebu weka vielelezo hapa na ripoti ya CAG tupitie.
Chama hakina pesa, pesa yote iko kwa Mbowe , Lissu anataka pesa ya Chama irudi chamani, sio jambo la chama ukampigie Mbowe magoti atoe pesa ya Chama kwenye account yake, huku ni kushika chama mateka
 
Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior.

Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone.

Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye keybord tu.
Kwani wao sio watz? Au unateseka tu! Kwani hawa maccm wanaomtetea mbowe na hao kina Yericko uliwahi kuwaona wapi kwenye mstari wa mbele
 
Chama hakina pesa, pesa yote iko kwa Mbowe , Lissu anataka pesa ya Chama irudi chamani, sio jambo la chama ukampigie Mbowe magoti atoe pesa ya Chama kwenye account yake, huku ni kushika chama mateka
Oh. Ripoti ya CAG kumbe ilionyesha fedha za chama zinakaa kwa akaunti ya Mbowe. That's serious now...
Sasa hivi hakuna Sheria ambazo anazisimamia msajili wa vyama kuwa fedha za chama zikae kwa akaunti ya chama si akaunti ya Mwenyekiti. Hili suala mlishawahi kulifikisha kwa msajili?
 
Back
Top Bottom