Huo uko labda wa mashoga.We ni mpumbavu lissu anafaa kuongoza hata ukoo wenu wote awatoe ujinga, key boar warrior // !!! Hao wa Mbowe wako wapi si Kwa social media ,mjomba wenu lazima aachie chama au kimfie just two options.
Huyu hapa chini yupo kwenye keyboard gani?!Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior.
Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone.
Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye keybord tu.
Toka zamani mbona tulikuwa tunawaambia wapiga kura hawapo mitandaoni mkawa mnakaza mafuvu?Take an example, Maria spaces zake zimesaidia nini katika politics za tanzania...zimemtikisa nani? sana sana anaishia tutaelewana tu! zina impact gani? .porojo tu za keyboard warriors! led by maria
Well said mkuu. Yaani ni kiazi Fulani hivi. Anadhani chama kinaendeshwa kwa maneno. Hajui ni gharama sana kuendesha chama cha siasa Africa maana hata wachangiaji wa kuinua chama kiuchumi Huwa wanaogopa maana watafungiwa mirija Yao ya riziki.Kukodi ukumbi kwa masaa ya mkutano wa CDM gharama yake inawezavuka ata tsh 15 million kwa siku.
Mikutano ya CDM inaanza tarehe 9 January, non-stop mpaka tarehe 23.
Bado gharama zingine za uchaguzi na operation expenses za chama zipo pale pale.
Saidia basi na wewe kidogo kufanya huo uchaguzi, anajibu ujinga tu. Anadhani raisi.
Lissu akishinda anaenda ivuruga CDM hana analoweza zaidi ya kuropoka tu.
Pesa ya Chama iko kwenye account ya Mbowe, sasa ni muda wa chama kuwa huru chini ya mwenyekiti mpya LissuWell said mkuu. Yaani ni kiazi Fulani hivi. Anadhani chama kinaendeshwa kwa maneno. Hajui ni gharama sana kuendesha chama cha siasa Africa maana hata wachangiaji wa kuinua chama kiuchumi Huwa wanaogopa maana watafungiwa mirija Yao ya riziki.
Na hata wazungu hawataweza kimsapoti kiivyo hadi labda yeye ungekuta ana miradi yake ya maana na mizito ambapo itakuwa rahisi mfadhili kuchaneli hela kupitia huko.
Sasa anaambiwa achangie anasema sio lazima.
Let say Mbowe ameshindwa na Lissu amechukua kiti how long will he last. Atatoa wapi operating cost za chama.
Atakigeuza hiki chama kuwa cha mfukoni kama UDP au Chauma. Tena Bora hivyo wenyeviti wake ni watu wazito mifukoni. Huyu kapuku anaenda kuiua chadema.
Unamshauri lissu amwachie mbowe ndiyo anaweza kuhamasisha watuLissu hawajui watanzania kabisa kabisa. Anaishi ndotoni.
Hakumbiki hata Mange alivyokuwa anajitahidi kuhamasisha maandamano anapata sapoti mitandaoni ila on ground mambo tofauti.
Wakati Fulani tulipokuwa chuo, kikundi Fulani kikataka kupindua uongozi uliopo maana haukufuatilia kwa makini mkopo Toka bodi na wengi walikuwa hawajapata. Kwahiyo wakahamasishana na kutiana morali huko nje sasa kiongozi wa kikundi akasema watu wote waingie wakae nyuma kwenye kikao halafu yeye ataenda mbele na kutangaza mapinduzi then watu wa nyuma waoige kelele kumsapoti. Duh!🤣😂🤣 Ilifanyika hivyo lakini hakuna mtu hata mmoja nyuma alipiga zile oya oya walizopanga. Jamaa Yuko mbele ashatangaza hali ya hatari na mapinduzi juu😂🤣🤣🤣 jeshi hana. Watu kimyaaa. Aliingia aibu ya Karne na kuonekana na uongozi kuwa kumbe huyu ndio mbaya....
Mambo ya oya oya yanafaa KENYA hapo. Tanzania na Uganda tumelala.
Si muanzishe chama kama zitto kabwe. Au nendeni chauma kama mko wengi au UDP.Pesa ya Chama iko kwenye account ya Mbowe, sasa ni muda wa chama kuwa huru chini ya mwenyekiti mpya Lissu
Kwani kuanzisha chama shilingi ngapi?Unamshauri lissu amwachie mbowe ndiyo anaweza kuhamasisha watu
Zitto alikuwa dhaifu, tunataka Lissu awe mwenyekiti maana ni mtu wa kazi ,anae ua chama ni yule anaekumbatia kiti kwa zaidi ya miaka 15 akila pesa ya chama kwa account yake binafsiSi muanzishe chama kama zitto kabwe. Au nendeni chauma kama mko wengi au UDP.
Mnataka chadema muiue then muinue miguu juu. Mtu mweusi ni mjinga sana.
Hiyo Hela ya chama wewe ndio unaiwekaga au unajua inatoka wapi. Hebu weka vielelezo hapa na ripoti ya CAG tupitie.Zitto alikuwa dhaifu, tunataka Lissu awe mwenyekiti maana ni mtu wa kazi ,anae ua chama ni yule anaekumbatia kiti kwa zaidi ya miaka 15 akila pesa ya chama kwa account yake binafsi
Chama hakina pesa, pesa yote iko kwa Mbowe , Lissu anataka pesa ya Chama irudi chamani, sio jambo la chama ukampigie Mbowe magoti atoe pesa ya Chama kwenye account yake, huku ni kushika chama matekaHiyo Hela ya chama wewe ndio unaiwekaga au unajua inatoka wapi. Hebu weka vielelezo hapa na ripoti ya CAG tupitie.
Mbowe ni ccm B hawana cha kupoteza , ila Lissu ni habari nyingineKuna nini mbona maccm wanahangaika na Lissu, kwani Lissu akiwa mwenyekiti mnaogopa nn tofauti na Mbowe ?
Kwani wao sio watz? Au unateseka tu! Kwani hawa maccm wanaomtetea mbowe na hao kina Yericko uliwahi kuwaona wapi kwenye mstari wa mbeleYule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior.
Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone.
Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye keybord tu.
Ni wajumbe&wapiga kura halali,Na nyumbu wa Sultan Mbowe ujasiri wao uko wapi? Maana na wao wako humu wewe ukiwa mmoja wao.
Oh. Ripoti ya CAG kumbe ilionyesha fedha za chama zinakaa kwa akaunti ya Mbowe. That's serious now...Chama hakina pesa, pesa yote iko kwa Mbowe , Lissu anataka pesa ya Chama irudi chamani, sio jambo la chama ukampigie Mbowe magoti atoe pesa ya Chama kwenye account yake, huku ni kushika chama mateka