Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

Lissu kashayatimba, akipata kura 5 wote hao watamkimbia atabakia peke yake kwenda TLP.
 
Uzuri huyo jamaa haitaji hata kuvimbishwa, ni mwanaume pekee aliesimama na kumvimbia shujaa wa kizamani.

Kipindi hicho nchi nzima wanaume na wanawake tukiwa uvunguni kama panya......

TL πŸ’
Haahaa yericko Nyerere nasikia alijificha maporini kigamboni, mbowe alikimbia nchi kimyakimya...Binafsi mtu anayempuuza lissu simwelewi kabisa
 
Lissu kashayatimba, akipata kura 5 wote hao watamkimbia atabakia peke yake kwenda TLP.
Haahaa mbowe salama yake lissu ashinde, nje ya hapo atabaki peke yake na chama.watu wamechoka huku mtaani
 
Halafu mbona nyuzi za kumuunga mkono Mbowe hazionekani humu, au ndio inakuwaje? Kwani Mbowe hawezi kujifanyia assessment kupitia maoni ya watu mtandaoni. Sioni nyuzi za kimsapoti Mbowe kabisa
 
..Hayo yote yamesababishwa na mbowe, binafsi natamani Sana kujua hayo mamilioni anayomwaga mbowe yanatoks wapi?
 
Halafu mbona nyuzi za kumuunga mkono Mbowe hazionekani humu, au ndio inakuwaje? Kwani Mbowe hawezi kujifanyia assessment kupitia maoni ya watu mtandaoni. Sioni nyuzi za kimsapoti Mbowe kabisa
..kumpigia kampeni mbowe yatakaa moyo, Hana sera, pia mtaani wakisikia kakaa miaka 21+ hawataki hata kusikia
 
Worrior ndo nani? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
..kumpigia kampeni mbowe yatakaa moyo, Hana sera, pia mtaani wakisikia kakaa miaka 21+ hawataki hata kusikia
Hahaha! Kukuta siasa za Tanzani ni bendera fuata upepo, yaani WANACHADEMA hawataki kumsikia Mbowe. Du! Hatari sana. Mbona Biden alipima upepo akaona hauziki akisepa! Kwa nini Mbowe hataki kuijtathmini!
 
Sheria gani wakati watu wanapokea tu pesa za Abdul kimya kimya na kuweka kwenye account zao ili wakishike chama mateka , Chama hakiwezi kujiendesha mpaka pesa itoke mfukoni kwa Mbowe, wacha Lissu akaondoe haya mambo ya hovyo kwenye chama
 
Safari hii Mbowe wanamkabia kwa juu mno ili asivuke mstari wa katikati na kuleta madhara langoni kwa Lisu
Mbowe 1: 3 Lisu dakika ya 85'. Kumbuka lisu yupo ugenini
 
Hujui dunia
 
Kwa mnavyotumia Makundi sogozi na mitandao ya kijamii kumsifu Samia huwa mnalenga nini? Hao wanao comment mitandaoni huwa wadhani wanaishi kwenye mitandao kama buibui?

Hivi unajua kwamba uchaguzi wa Mwaka 2020 vyombo vya habari havikuwa vikitangaza ratiba wala mikutano ya Lissu, hata magari ya matangazo kuwataarifu watu kuwa atakuwepo sehemu fulani hayakuruhusiwa lakini kila alipoenda alikut watu wamejaa wakimsubiri? Tena walijaa kiasi maeneo mengi zaidi magufuli hakumkaribia Lissu pamoja na wao kujitangaza kwa kila namna na ikiwemo kusafirisha watu kwenda mikutanoni?

Lakini ni kupitia mitandao hiyo unayojaribu kuonyesha haina tija diy watu walijuishana kuhusu ratiba na mikutano ya Lissu na kote walijaa isivyo kawaida. Ni kwa ajili ya mitandao hio uayaribu kuifanya ionekane kuwa haina tttija ndiyo leo hata maistream media ni kama hazipo. Kawatafute wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambao wao hawafuatilii mambo ya mitandaoni zaidi ya kusikiliza na kuangalia taarifa za habari.

Rais anapolalamika kuwa kelele ni nyingi lazima hatua zichukuliwe au anaposema hajali kelele a anajigeuza kuwa chura kiziwe kwani hao wapiga kelele huwa wanaandamana mitaani?

Msipendi kujitia ujuaji wa vitu ambavyo uelewa wenu juu yake ni finyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…