Lissu Antipas Tundu aweza kuwa kiongozi mzuri kumpita Rais Samia?

Wewe ni mpumbavu sana
 
Ungemuuliza pia kama anajua kuhusu GBP
 
Presidential material anatakiwa kuwaje??
Ni kuachana nao tu hao. Tangu wamejua kutumia neno 'presidential materials' imekuwa nongwa.
Sijui ni nani aliwafundisha na kuwadanganya maana ya presidential material?
Yaani Presidential Material achaguliwe na mwananchi asiyejua hata maana ya presidential, let alone material.
 
pumbavu, kumbe unafanya propaganda
 
Huyo dikteta Kwa Asili.Uliwahi ona wapi mtu muck know anaejifanya anajua Kila kitu akawa Rais Bora kushinda wote? Jiwe alikuaje? Nyerere Je? Hao ndio sampuli yake.
 
Mwanaharakati ndio lakini eti Rais aah wapi hamna kichwa hapo kinachoweza kuhimili mikimiki ya urais.? Sana sana ni umimi na ujuaji uliopitiliza wakati Urais ni team work ya Kitaasisi.
 
Ni mawazo yakobya kichawa
 
Usisahau kuwa Lisu ni Mwanasheria wakati Samia ni mbumbu wa Sheria ndiyo maana hawezi tofautisha Kati ya mkataba na majadiliano ua makibaliano
Sawa, lkn tutumie lugha zenye staha - watanzania ni timu moja na vyama vitaendelea kutuunganisha
 
Sawa, lkn tutumie lugha zenye staha - watanzania ni timu moja na vyama vitaendelea kutuunganisha
Hapo umeleweka lakini mkija na lugha za sijui ushoga, udini itabidi turudishane kwenye mstari nchi hatujaathirika na ushogha wa udini tumeathirika na maendeleo ya Watu wetu
 
Sawa, lkn tutumie lugha zenye staha - watanzania ni timu moja na vyama vitaendelea kutuunganisha
Hivi huko Kakonko mlishawekewa lami au bado mnakula vumbi tu?

Nafikiri lami ni muhimu kuliko staha unayoomba ,Samia kama anataka staha asitegeemee huku mtandaoni maana wapo wakubwa zaidi yake kwahiyo staha ataipata nyumbani kwake akiwa na mumewe, wanae na wajukuu.

Huku tunaongelea habari zake za ofisini kama anavyopwaya lazima aambiwe hili sio suala la kifamilia na yeye sio mama aiwa ofisini ni huo nyumbani kwake .
 
Lissu awe Rais?
 
Ungemuuliza pia kama anajua kuhusu GBP
Huyu alisema eti atagombea urais kipindi fulani ila naona n majanga mengie watanzania wataenda kupata kwa akili kama hizi nchi itazidi kutitia.

Ngoja nione ule uzi wake kama bado upo.
 
With due respect!
Kama hii ndio analysis yako...mkuu utakuwa una uwezo mdogo sana...naomba unisamehe bure kabisa.
 
# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;


Ngaika Ndenda
Kigoma.

..lakini Zanzibar si nchi ya kishoga? Na Ssh si amezaliwa, na kulelewa huko? Je, akiendelea kuongoza Watanganyika tutakuwa salama?
 
Anaweza kuzidi woooote baada ya Mwalimu
Wote walikuwa wafanyabiashara Ikulu
 
Hakuna mtu yoyote ccm ,anaweza kuwa kiongonzi mzuri kuliko lissu ,utawala wake utakua wa kufuata sheria , mfano ata ingekua mimi ,wewe ukamue mtu mwingine kisa ndugu yangu kama rais na umekutwa na atia kupitia mhumiri wa maakama , ukaukumiwa kunyongwa why usinyongwe?

Unable pesa za uma, unakura rushwa kwa nini usifungwe kama umepatikana na hatia , eti kisa hu mtoto wa rais
 
Una imri gani Msakila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…