Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
- #41
Mimi namwona Lissu ktk nafasi ya udikiteta - watu wanaweza kukoma kweli kweliHakuna mtu yoyote ccm ,anaweza kuwa kiongonzi mzuri kuliko lissu ,utawala wake utakua wa kufuata sheria , mfano ata ingekua mimi ,wewe ukamue mtu mwingine kisa ndugu yangu kama rais na umekutwa na atia kupitia mhumiri wa maakama , ukaukumiwa kunyongwa why usinyongwe?
Unable pesa za uma, unakura rushwa kwa nini usifungwe kama umepatikana na hatia , eti kisa hu mtoto wa rais