Lissu Antipas Tundu aweza kuwa kiongozi mzuri kumpita Rais Samia?

Mimi namwona Lissu ktk nafasi ya udikiteta - watu wanaweza kukoma kweli kweli
 
Hafai hata urais wa kitongoji hiyo tundu wako anabwabwaja, anakurupuka na kuropoka tu badala ya kutoa ushauri
 
Usitumie makalio kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…