Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

Kweli sema figisu za usajili lakini naamini siku ya kwanza tu akitangaza kuanzisha ndio itakuwa mwisho wa upinzani uchwara
Labda hicho chama kiwe na wapumbavu watupu .

Anzisheni msajili Vyama tuwaone.

Mwisho Tanzania haiwezi toa usajili Kwa Vyama vya vibaraka wa EU na Amsterdam
 
Lissu hajawah anzisha kitu chochote cha maana toka azaliwe....

Labda familia
Hana hicho kipaji Bali yeye anachoweza ni kuropoka,kufitini, kutanga tanga na kupinga Kila kitu.

Muulize huyo Lisu kwamba Je Kuna kitu kipi Cha maana Serikali imefanya uone kama atakujibu.

Toka amezaliwa Hadi atakufa yeye anapinga tuu 😂😂😂
 
Chawa unaleta Dua la kuku kwenye siasa? 😂😂

Hela mnazo lakini?
 
Lissu mwenyewe anajua akitoka nje ya chadema ndio amekufa kisiasa ndio maana hakufanya hivyo .
Siasa ni team work Tena ya watu makini na wenye ela .
Siasa za sashivi sio za Miaka ya 60 ambazo michango ya wanachama tu inatosha tu.
Lisu ni maalim Seif wa bara akitoka chadema imekishwa hata alivyotoka CUF imekwisha
 
Tapeli kakutapeli nini? Tuache umalaya wa kujitia ujuaji
 
Kwa wanaonifahamu, watashangaa huu upumbavu ulioandika. Angalia umri Wangu wa JF kabla ya kujibu. Next time sitakufundisha hivi bali kwa vitendo
Jibu swali umri wako Baki nao mwenyewe Mimi haunihusu
 
Upo sahihi.
Lakini na yeye atawawala miaka 30 kwenye hicho chama chache. Ipo hivyo..sisi ni africa.
 
Itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa!
Hicho chama mpaka kipate Usajiri ni leo?
Na kama unavyojua Msajiri ni Mtumishi wa Serikali ya CCM.
Bora akomae humo humo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…