Uchaguzi 2020 Lissu Arusha Kesho: Uzinduzi CHADEMA Kanda ya Kaskazini Viwanja vya NMC Relini

Uchaguzi 2020 Lissu Arusha Kesho: Uzinduzi CHADEMA Kanda ya Kaskazini Viwanja vya NMC Relini

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
24,977
Reaction score
23,799
Wana Arusha kuanzia Babati Karatu Monduli Namanga Mto wa Mbu, Usa River Ngaramtoni Mnakaribishwa kesho kwenye viwanja vya NMC RELINI kuanzia saa nne asubuhi. Rais Mtarajiwa Mwanasheria Nguli Barani Afrika na Mpigania Haki TUNDU LISSU pamoja na kipenzi cha Wana Arusha Mbunge G LEMA (Sauti ya Radi) watawahutubia maelfu ya Watanzania.

Gari la Matangazo linapita hapa linapiga kile kibao cha CHADEMA pipozpawaaa Burudani kweli. Watu wanamunkari kumsikia TUNDU LISU akimwaga SERA. Hakika kesho ile Kitu NYOMI usiulize Arusha kama utamaduni CHADEMA imo mioyoni.

Njoo usikilize SERA za UKWELI

Karibuni sanaaaa

Kama kawaida tutakuwa hewani Mubashara hapa jamvini kuanzia asubuhi TUMEJIPANGA
 
Lazima niwepo sababu ni jirani na nilipo. Lazima nikamsikilize rais mtarajiwa
 
Lazima niwepo sababu ni jirani na nilipo. Lazima nikamsikilize rais mtarajiwa
Karibu sana MKUU gari la matangazo linapita hapa linagonga ule mziki Chadema chadema chadema watu wanaitika pipozpawaaaa dah kitu iko mioyoni mwa watu
 
Karibu nyumbani Mh.Rais Arusha tupo tayari na ushindi ni wako umepita babaa.
 
Back
Top Bottom