Uchaguzi 2020 Lissu Arusha Kesho: Uzinduzi CHADEMA Kanda ya Kaskazini Viwanja vya NMC Relini

Uchaguzi 2020 Lissu Arusha Kesho: Uzinduzi CHADEMA Kanda ya Kaskazini Viwanja vya NMC Relini

Wanafivha aibu uwanjani hamna watu unataka warushe hewani uwanja mtupu?

..jambo la msingi kwa sasa hivi ni HOJA za mgombea.

..watu wanatakiwa wapate ujumbe ndipo waanze kuiunga mkono kampeni.
 
Ngoja nieke Mbamba mkao na dogdog..kesho tukutane arif
 
Wana Arusha kuanzia Babati Karatu Monduli Namanga Mto wa Mbu, Usa River Ngaramtoni Mnakaribishwa kesho kwenye viwanja vya NMC RELINI kuanzia saa nne asubuhi. Rais Mtarajiwa Mwanasheria Nguli Barani Afrika na Mpigania Haki TUNDU LISSU pamoja na kipenzi cha Wana Arusha Mbunge G LEMA (Sauti ya Radi) watawahutubia maelfu ya Watanzania.

Gari la Matangazo linapita hapa linapiga kile kibao cha Chadema Chadema pipozpawaaa Burudani kweli. Watu wanamunkari kumsikia TUNDU LISU akimwaga SERA. Hakika kesho ile Kitu NYOMI usiulize Arusha kama utamaduni Chadema imo mioyoni.

Njoo usikilize SERA za UKWELI

Karibuni sanaaaa

Kama kawaida tutakuwa hewani Mubashara hapa jamvini kuanzia asubuhi TUMEJIPANGA
Mmekimbia Dar kwa nini? Siku tatu zimeisha?
 
Back
Top Bottom