Uchaguzi 2020 Lissu Arusha Kesho: Uzinduzi CHADEMA Kanda ya Kaskazini Viwanja vya NMC Relini

Angalia Dodoma achana na saccos.
Dom kuna nini kipya mkuu, idadi ya ndege zilizopo na zikazonunuliwa, madaraja, barabara, na kadhalika, vyote tunajua kwa details, tumeimbiwa huo wimbo tangu 2016! Labda kama Diamond ana vibao vipya atazindua hapo, tuingia TBC!
 
..TL yuko wapi leo?
Kagoma kwenda kuhutubia Kawe kwa aibu sababu hamna watu lakini.kubwa ana Bifu na Halima Mdee alikataa wazi Lisu asiwe mgombea uraisi Chadema wakati wa mchakato ndani ya chama

Lisu kasingizia hajisikii vizuri
 
..acha propaganda, Halima anamuunga mkono TL.
 
Kwa nilizozipata mpaka sasa wana jf wenzangu nimeshusha kura. Lisu akifikisha kura 1.5M nipigwe ban.

MAGUFULI4LIFE
 
Kagoma kwenda kuhutubia Kawe kwa aibu sababu hamna watu lakini.kubwa ana Bifu na Halima Mdee alikataa wazi Lisu asiwe mgombea uraisi Chadema wakati wa mchakato ndani ya chama

Lisu kasingizia hajisikii vizuri
jamaa unapata tabu sana njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…