PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa kula aliokuwa amedhamiria kuanza.

Akizungumza leo Mei 14, 2025, Matata amesema Lissu sasa anapatiwa chakula vizuri na ndugu zake wanamtembelea bila shida, lakini changamoto iliyobaki ni kwa mawakili wake kukosa nafasi ya kufanya mashauriano ya kina naye kuhusu kesi hiyo.

"Sisi kama Mawakili wa Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu) ametutuma, kama mtakumbuka tarehe 03/05/2025 tulifanya press conference ambapo katika press ile moja ya kitu ambacho tulikipeleka kwa umma ni kile ambacho Lissu alituambia kwamba anataka kufanya mgomo wa kula chakula kutokana na kutofanyiwa vyema akiwa gerezani, Lissu haendelei na ule mgomo (wa kula) na hajafanya hivyo kwa sababu baada ya maamuzi ya Mahakama (ya kuridhia kesi kusikilizwa kwa uwazi sio mtandao) kila kitu kimebadilika"

"Kimsingi baada ya maamuzi yaliyotolewa tarehe 06/05/2025 pale Kisutu ambapo Hakimu alitoa amri kadhaa hali ya gerezani kidogo imebadilika, ninaposema imebadilika maana yake yale aliyokua anatendewa mteja wetu angalau yamebadilika, anapewa chakula vizuri, ndugu wanakwenda kumtembelea, kwahiyo suala la kwenda kumtembelea (gerezani) sio shida tena, na hiyo ni haki kabisa, shida ambayo ipo ni kwa sisi Mawakili wake ukweli bado hatujapata ile haki ya kufanya mashauriano, yes tumepewa haki ya kumuona"

"Kuna tofauti ya kumtembelea na kushauriana, sisi Mawakili wake tunatakiwa kukaanae kushauriana nae juu ya mwenendo wa kesi yake, inatakiwa atuambie na sisi tumshauri, yote haya yanahitaji mkae kwa zaidi ya nusu saa au masaa matatu, mpaka sasa tukienda tunaongea nae kama (visitors) kumtembelea, nitoe wito kwa Mkuu wa Magereza la Ukonga kuhakikisha kwamba sisi tunajipanga hapa karibuni kwenda kukutana nae ili kuweza kuongea nae na kushauriana nae ili tunapokuja tarehe 19/05/2025 tunatakiwa kuwa na uelewa mmoja wa nini kinakwenda kufanyika, kesi inakuja kwa ajili ya usikilizaji wa maelezo ya awali na usikilizwaji wa awali unatengeneza kesi itakavyoenda tokea itakapoanza mpaka itakapoisha"

Soma, Pia: Wakili Jebra: Hatutegemei visingizio vyovyote Lissu kutoletwa Mahakamani Mei 19, 2025
 
ukiona mwanadamu hataki mambo ya dunia hii, ujue anatamani mambo ya mbiguni.
ni vizuri kumuacha afanye kadiri anavyotaka kwa uhuru, hakuna haja ya kubabaika na mtu wa aina hiyo :NoGodNo:
 
BAADA YA HECHE KUPITA HUKO BUNDA MZEE WASIRA AKIMBILIA INDIAAAAA🏃🏃🏃
 
Akiacha kula anamkomoa nani? Km kufa si anakufa mwenyewe?
 
Aaaaaa, amesitishaje tena mgomo wa kula?! Sisi huku kitaa tulikuwa tumeshaanza kujiandaa kumwimbia niagieni ....!
Jamaa mwenyewe kumbe hata hana anachokisimamia 😏 😠 😡
 
I hope hicho chakula cha jela anachokula haletewi ametengewa cha kwake peke yake.

Na sielewi kwa nini anakula cha serikali. Nilidhani analetewa cha nje na watu wake.

Watu wa kawaida wengi tu huwa wanaletewa chakula mahabusu kila siku. Sembuse Tundu Lissu mwenye maadui kibao.
 
Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa kula aliokuwa amedhamiria kuanza.

Akizungumza leo Mei 14, 2025, Matata amesema Lissu sasa anapatiwa chakula vizuri na ndugu zake wanamtembelea bila shida, lakini changamoto iliyobaki ni kwa mawakili wake kukosa nafasi ya kufanya mashauriano ya kina naye kuhusu kesi hiyo.

"Sisi kama Mawakili wa Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu) ametutuma, kama mtakumbuka tarehe 03/05/2025 tulifanya press conference ambapo katika press ile moja ya kitu ambacho tulikipeleka kwa umma ni kile ambacho Lissu alituambia kwamba anataka kufanya mgomo wa kula chakula kutokana na kutofanyiwa vyema akiwa gerezani, Lissu haendelei na ule mgomo (wa kula) na hajafanya hivyo kwa sababu baada ya maamuzi ya Mahakama (ya kuridhia kesi kusikilizwa kwa uwazi sio mtandao) kila kitu kimebadilika"

"Kimsingi baada ya maamuzi yaliyotolewa tarehe 06/05/2025 pale Kisutu ambapo Hakimu alitoa amri kadhaa hali ya gerezani kidogo imebadilika, ninaposema imebadilika maana yake yale aliyokua anatendewa mteja wetu angalau yamebadilika, anapewa chakula vizuri, ndugu wanakwenda kumtembelea, kwahiyo suala la kwenda kumtembelea (gerezani) sio shida tena, na hiyo ni haki kabisa, shida ambayo ipo ni kwa sisi Mawakili wake ukweli bado hatujapata ile haki ya kufanya mashauriano, yes tumepewa haki ya kumuona"

"Kuna tofauti ya kumtembelea na kushauriana, sisi Mawakili wake tunatakiwa kukaanae kushauriana nae juu ya mwenendo wa kesi yake, inatakiwa atuambie na sisi tumshauri, yote haya yanahitaji mkae kwa zaidi ya nusu saa au masaa matatu, mpaka sasa tukienda tunaongea nae kama (visitors) kumtembelea, nitoe wito kwa Mkuu wa Magereza la Ukonga kuhakikisha kwamba sisi tunajipanga hapa karibuni kwenda kukutana nae ili kuweza kuongea nae na kushauriana nae ili tunapokuja tarehe 19/05/2025 tunatakiwa kuwa na uelewa mmoja wa nini kinakwenda kufanyika, kesi inakuja kwa ajili ya usikilizaji wa maelezo ya awali na usikilizwaji wa awali unatengeneza kesi itakavyoenda tokea itakapoanza mpaka itakapoisha"

Soma, Pia: Wakili Jebra: Hatutegemei visingizio vyovyote Lissu kutoletwa Mahakamani Mei 19, 2025
Kwa tanzania ukisema ususe kule wenzakonndio wanafurahia ufe haraka uwaondolee kero hii nchi ngumu sana, lissu kashtukia mchezo
 
ukiona mwanadamu hataki mambo ya dunia hii, ujue anatamani mambo ya mbiguni.
ni vizuri kumuacha afanye kadiri anavyotaka kwa uhuru, hakuna haja ya kubabaika na mtu wa aina hiyo :NoGodNo:
We mwanamke mbona unaangaika sana ...waache na mambo yao wenyewe ....
Kingine nyie wote watz tofauti za mivyama yenu isifanye muombeane mabaya bibie...
 
Back
Top Bottom