PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We mwanamke mbona unaangaika sana ...waache na mambo yao wenyewe ....
Kingine nyie wote watz tofauti za mivyama yenu isifanye muombeane mabaya bibie...
relax ndugu mropokaji,
ni vizuri ukweli usemwe kwa uwazi šŸ’
 
Lissu anawajambisha haswa hawa wapumbavu
yaaani nyie hamna akili kabisa anawajambisha huku yupo gerezani nyie mko uraiani kwakweli akili za makalioni hiz mlizonazo ni shida sana , na angegoma kula aone njaa ilivyo mbaya siku moja tu angeomba pooooooo
 
ukiona mwanadamu hataki mambo ya dunia hii, ujue anatamani mambo ya mbiguni.
ni vizuri kumuacha afanye kadiri anavyotaka kwa uhuru, hakuna haja ya kubabaika na mtu wa aina hiyo :NoGodNo:
Nonsense
 
yaaani nyie hamna akili kabisa anawajambisha huku yupo gerezani nyie mko uraiani kwakweli akili za makalioni hiz mlizonazo ni shida sana , na angegoma kula aone njaa ilivyo mbaya siku moja tu angeomba pooooooo
Tulia wewe dada angu
 
Naona CCM wanaumiza kichwa na kesi yao ya mchongo. Kila njama inapangwa kuendesha kesi hii.
 
Ndugu zangu embu tafuteni kokote Duniani wale wanaogomeaga kula kwasababu zozote zile !!!!!

kama yupo mwenye kitambi na Domo kubwa kama la Mjomba Lisu !!!!

wanaogomeaga wanakuwaga wembamba !!

niwatu wanyekujua mpangilio wa kula sio uyu Mjomba. !!!!!

Ndio mana Mjomba akajiwekea akiba ya neno !!

kwa kusema ataanza Mgomo !!

yani ajaanza Mgomo !!!
ndio ingekuwa ivyo ivyo kila siku nitaanza Mgomo!!!!!!!
 
Akiacha kula anamkomoa nani? Km kufa si anakufa mwenyewe?
Ujinga tu ameufanya.Kwasababu angekufa au afya ingezorota watu bado wangeendelea na maisha yao.Ata wafuasi wake wangeishia kulaani mitandaoni baada ya hapo wanamsahau hadi familia yake.Jukumu la kwanza ni kuhakikisha unapambana kuishi sio kujidhoofisha,maana unaweza ukajidhoofisha na usipate unachokitaka uku wenzako wakaendelea kunywa bia uku wanapiga stori zako kama kichekesho.
 
LISSU anafunga siku nne anafanya maombi na kufungua novena watu wanapoteana
 
Back
Top Bottom