Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

Hivi,ukiandika "muda " wote unamaanisha nini?Na leo hii yuko wapi katika huo muda wote?Lugha haujui,ndiyo na kutumia akili kuwasilisha jambo unashindwa?
Sasa yupo Tanzania kwa maslahi yake binafsi kutaka achukue fomu ili agombee na kuja kuitumia CHADEMA kwa maslahi yake binafsi
 
Tombanebhe
 
Mheshimiwa Mbowe amekuwa madarakani kwa kuchaguliwa na wanachama na siyo kung'ang'ania.na wala hakuna alipovunja katiba kwa yeye kuwepo madarakani kwa sababu yupo kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA
Kwani unafikiri Mugabe hakuwa anachaguliwa?
 
Hii inadhihilisha kiasi gani CCM inavyo muogopa Lisu

Si kawaida mwana ccm kumsifia mpinza inatia warakini

Hii inadhihilisha wazi ni muda sasa Lisue kushika chama
 
Hii inadhihilisha kiasi gani CCM inavyo muogopa Lisu

Si kawaida mwana ccm kumsifia mpinza inatia warakini

Hii inadhihilisha wazi ni muda sasa Lisue kushika chama
Huyo lissu si aligombea Urais 2020? Aliambulia nini zaidi ya kuvuna Aibu?
 
Samia kila leo yuko nje anazurula kwenda kukopa kutuongezea zigo la madeni , anaongozaje nchi?
Ccm mtapoteza fedha nyingi sana kuwahonga wajumbe ili boya wenu ashinde , lakini mtapata aibu kama mlivyopata kwenye uchaguzi wa TLS!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…