Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Endelea kuweweseka na ujinga wako.UWT mahaba yameanza lini kwa CHADEMA? kuna maelekezo kutoka kwa Abduli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuweweseka na ujinga wako.UWT mahaba yameanza lini kwa CHADEMA? kuna maelekezo kutoka kwa Abduli
Sasa yupo Tanzania kwa maslahi yake binafsi kutaka achukue fomu ili agombee na kuja kuitumia CHADEMA kwa maslahi yake binafsiHivi,ukiandika "muda " wote unamaanisha nini?Na leo hii yuko wapi katika huo muda wote?Lugha haujui,ndiyo na kutumia akili kuwasilisha jambo unashindwa?
Unaniogopa snEndelea kuweweseka na ujinga wako.
Unaenda wapi na lissu? Labda kuzururaTushawastukia wanaLumumba. Mbowe ni duka lenu.
Safari hii tunaenda na Lisu.
Na wewe ni wa kuogopwa na watu?Unaniogopa sn
Unanijua nikikiwashaNa wewe ni wa kuogopwa na watu?
Labda wewe ndiye lijinga jingaMama anyimwe 2025 ili azurure vizuri uarabuni na ale kwa urefu wa kamba yake. Wajinga kama wewe mpo wengi. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Ndio najua ukikiwasha kichwani mwako na kutawaliwa na moshi huwa unafungwa kamba tu😀😀Unanijua nikikiwasha
CCM haijawahi kuhangaika.hiki ni chama kiongozi Barani AfrikaCCM mna angaika sana.
TombanebheNdugu zangu Watanzania,
Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi wakuu wake kuwepo Nchini muda wote ili kuweza kushuka chini huko kukijenga na kukiimarisha chama.kuwepo na uwepo wao katika Operation mbalimbali inaleta morali ,nguvu na matumaini kwa viongozi wa chini pamoja na wanachama.inasaidia sana kukiamsha chama kilipolala na kukipa uhai.
Sasa huyu lissu anayetaka uenyekiti wa CHADEMA Taifa nafasi ambayo kihalisia haiwezi kuimudu ni vipi ataiongoza CHADEMA? Ni vipi ataijenga CHADEMA? Ni vipi atashirikiana na viongozi na wanachama kukisimika chama mioyoni mwa watu?
Ikumbukwe ya Kuwa lissu amekuwa akitumia muda mwingi kuzunguka ulaya na Marekani kuchafua kuongea maneno yenye kuchafua taswira ya nchi yetu,kujijenga yeye binafsi,kutangaza nia zake za kugombea Urais na kutanua tu Maisha .
Akija Nchini anakuwa amekuja kwa maslahi yake binafsi au kutimiza matakwa ya wanaomtumia kwa mlango wa nyuma kutoa matamko yenye kuchochea chuki,ubaguzi na kuchafua watu. Akija Nchini ni kuomba michango binafsi kwa ajili yake mwenyewe.baada ya hapo huondoka kimya kimya na kwenda zake ulaya kuendelea na Maisha yake.
Sasa mtu wa namna hii chama kitapata wapi msaada wake wakati muda mwingi yupo angani na ulaya?atakitumikia chama muda gani? Atajua vipi uhai wa chama na maendeleo yake? Atakiandaa chama muda gani kushiriki uchaguzi na chaguzi mbalimbali? Si mliona hapo majuzi tu ameshindwa hata kujiandikisha kupiga kura? Sasa mnafikiri kwa sasa ndio atapata muda wa kuitumikia CHADEMA?
Anachotaka na atakachokifanya lissu ni kuitumia CHADEMA kwa maslahi yake binafsi na kujineemesha yeye binafsi.ataitumia CHADEMA kutolea matamko yake ya kichochezi na kibaguzi kuligawa Taifa letu na watanzania kwa ujumla wake.ataitumia CHADEMA kuchochea machafuko na na vurugu tu hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimepagawa na nini.Umepagawa Dogo??
Kwani unafikiri Mugabe hakuwa anachaguliwa?Mheshimiwa Mbowe amekuwa madarakani kwa kuchaguliwa na wanachama na siyo kung'ang'ania.na wala hakuna alipovunja katiba kwa yeye kuwepo madarakani kwa sababu yupo kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA
Hayo ni mawazo yako.Na wewe gombea uenyekiti wa kitongoji halafu uwe unashinda Nzovwe na kurudi Songwe kila siku.Sasa yupo Tanzania kwa maslahi yake binafsi kutaka achukue fomu ili agombee na kuja kuitumia CHADEMA kwa maslahi yake binafsi
Uchaguzi wa serikali za mitaa ni mpaka 2029Hayo ni mawazo yako.Na wewe gombea uenyekiti wa kitongoji halafu uwe unashinda Nzovwe na kurudi Songwe kila siku.
Hata wa CDM bado mpaka kuchee.Uchaguzi wa serikali za mitaa ni mpaka 2029
Huyo lissu si aligombea Urais 2020? Aliambulia nini zaidi ya kuvuna Aibu?Hii inadhihilisha kiasi gani CCM inavyo muogopa Lisu
Si kawaida mwana ccm kumsifia mpinza inatia warakini
Hii inadhihilisha wazi ni muda sasa Lisue kushika chama
Samia kila leo yuko nje anazurula kwenda kukopa kutuongezea zigo la madeni , anaongozaje nchi?Ndugu zangu Watanzania,
Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi wakuu wake kuwepo Nchini muda wote ili kuweza kushuka chini huko kukijenga na kukiimarisha chama.kuwepo na uwepo wao katika Operation mbalimbali inaleta morali, Ushawishi,nguvu na matumaini kwa viongozi wa chini pamoja na wanachama.inasaidia sana kukiamsha chama kilipolala na kukipa uhai.
Sasa huyu lissu anayetaka uenyekiti wa CHADEMA Taifa nafasi ambayo kiuhalisia haiwezi kuimudu ni vipi ataiongoza CHADEMA? Ni vipi ataijenga CHADEMA? Ni vipi atashirikiana na viongozi na wanachama kukisimika chama mioyoni mwa watu?
Ikumbukwe ya Kuwa lissu amekuwa akitumia muda mwingi kuzunguka ulaya na Marekani kuchafua na kuongea maneno yenye kuchafua taswira ya nchi yetu,kujijenga yeye binafsi,kutangaza nia zake za kugombea Urais na kutanua tu Maisha .