Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
uchonganishiWakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Tundu Lissu kwake TegetaWakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Sasa mmeamua kujiandikia tuuu😂😂😂Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Nakushauri wacha kutumia kinyeo kufikiri, utakuja kunishukuru.Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Wewe ni Mwanachadema?Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Vipi hangover imeisha? Maumivu ya kutumia mihela mingi alafu bado Lissu kawashinda yameshapoa huko Lumumba na Kizimkaz?Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
kwani uongo lisu haishi ubelgiji?uchonganishi
Waliomchagua wanajua nyumbani kwake. Wewe unayebeba mabox Kaa kimya.Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Wengine wameongozaje?Akina vasco dagama wameweza je wanaolazimika kwenda kwenye tiba ya ugonjwa wa kupewa na wahuni?Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Mimi ni mzalendo wa taifaWewe ni Mwanachadema?
Have you studied the Law of Cause & Effect? Who caused it? then what happened to Lisu before arriving in Belgian?Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Ujinga mtupu!Wakuu,

Kwani mbowe alikuwa anaishi ubelgiji?Wengine wameongozaje?Akina vasco dagama wameweza je wanaolazimika kwenda kwenye tiba ya ugonjwa wa kupewa na wahuni?