Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Waliomchagua ndio ambao akili hawana
 
Moderators kuruhusu threads za kizushi kama hii ni kutokulitenda haki Jukwaa hili. Lissu nyumbani kwake ni Tegeta huwa anakwenda Ubelgiji kwa medical checkup hivyo uzi huu kutoka kwa mwanaccm unalenga kumnyanyapaa Lissu kwa madhila yalisababishwa na serikali ya CCM. Hii si sawa hata kidogo hebu kuweni na ubinadamu.
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lisu ataiongozaje chadema wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Kwann hukuleta hoja before?
 
Moderators kuruhusu threads za kizushi kama hii ni kutokulitenda haki Jukwaa hili. Lissu nyumbani kwake ni Tegeta huwa anakwenda Ubelgiji kwa medical checkup hivyo uzi huu kutoka kwa mwanaccm unalenga kumnyanyapaa Lissu kwa madhila yalisababishwa na serikali ya CCM. Hii si sawa hata kidogo hebu kuweni na ubinadamu.
Familia ya lisu iko ubelgiji wewe huko ndio kwake
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Mbowe alikuwa anaishi wapi mpaka kushindwa kuendesha chama?
 
Dah!!!!! Nilidhani kwa umri wangu huu nshamaliza kuona upuuzi wote dunianišŸ˜‚ nakupa namba za Paul Bia wa Cameroon,then umuulize kua anawezaje kuongoza nchi na wakati anaishi Ufaransa,au ndio TAL huyu?
Ndio utuambie sasa ataongozaje akiwa nje ya nchi, sijawahi kuona kiongozi anaeongoza kutokea nje ya nchi
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Hamna sera,
Zimeliwa zenu hela,
Maselaaaaa,
 
Moderators kuruhusu threads za kizushi kama hii ni kutokulitenda haki Jukwaa hili. Lissu nyumbani kwake ni Tegeta huwa anakwenda Ubelgiji kwa medical checkup hivyo uzi huu kutoka kwa mwanaccm unalenga kumnyanyapaa Lissu kwa madhila yalisababishwa na serikali ya CCM. Hii si sawa hata kidogo hebu kuweni na ubinadamu.
Pengine watachukua hatua soon
 
Back
Top Bottom