Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Kwa ule uchaguzi ilikuwa bora jiwe kuliko FAM, alichokwa sana aiseee
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Yaani wewe una akili sana kuliko waliomchagua, idadi ya wapiga kura nadhani ilikuwa 996 asilimia 51 ya idadi hiyo umewazidi akili
 
Back
Top Bottom