Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Maumivu ni makali kwa team Mbowe.
 
Kwakuwa akili huna na ni kidampa buku 7 wa Lumumba ngoja nikusaidie hii historia nyepesi.

Chama kilichoipa uhuru Mozambique kinaitwa FRELIMO kiliundwa Dar es Salaam

Samora Machel aliishi Dar es Salaam na Dodoma [Kongwa]

Huyu ndio aliongoza harakati za kumtoa mreno kutokea Dar es Salaam na ndio alikuwa rais wa kwanza wa Mozambique.

Na wapo wengi tu walioongoza vyama na harakati wakiwa uhamishoni.
Nakazia ✍️ ✍️

Na huo ni mmoja tu kati ya mifano mingi.

ANC wa South Afrika walikuwa na kambi zao Morogoro, Kongwa Dodoma, Zambia. Ni kawaida kwa wapigania Haki (uhuru).

Halafu pimbi mmoja asiye na haya Laki Si Pesa anajifanya hajui kuwa TAL alienda Ubelgiji kama mkimbizi kukwepa kuuliwa, na ushahidi upo wazi kuwa walitaka kumuua. Na hata sasa ana mabaki ya risasi mwilini mwake.

Kuna baadhi ya machawa wa Mbogamboga ni waovu kuliko hayawani.

MOROGORO. Makao Makuu ya Kwanza ya Uhamishoni ya ANC. | JamiiForums MOROGORO. Makao Makuu ya Kwanza ya Uhamishoni ya ANC.
 
Lumumba wanaokoteza failures wasiojua hata kuandika ndio waje wajadili mada nzito.
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Mimi niko Arusha na ninaongoza familia Yangu iko Mwanza. Usijali nitampa uzoefu.
 
Sidhani, ingekuwa ni mwanachadema kaandika uzushi juu ya CCM au kiongozi wa CCM uzi unafutwa ghafla,lakini mwanaccm kama huyu Laki si Pesa kuleta uzushi wa wazi kuwa Lissu anaishi Ubelgiji wao wanafumba macho.
Wakikashifiwa viongozi wa Chadema hapa ni ruksa lakini ukiandika chochote kuhusu viongozi wa CCM ambacho mods hawakipenda post inafutwa.
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Mawazo mgando
 
Kwa hiyo Tegeta siku hizi kunaitwa Ubelgiji?
Samahan mkuu
Una umri gani na umeishia darasa la ngapi. Kwenye shule n vzr kutoa ushahidi wa cheti futa jina na namba ya cheti tuone.
Nawasiwasi na elimu yako kuwa ni ya shule ya msingi na ni mtoto wa elf2006 au 7
Samahani lakini
 
Hahahaha, hii ni propaganda ya kijinga.

Siku watu wengi sio wajinga kama zamani, ndio chama kiko busy na akina Doto magari, akina Nandy nk huku makada mnaburuzwa tu
Kama chama kinatumia machawa na zuchu na harmonize ndio waburudishaji wa mkutano mkuu wa kumchagua mwenyekiti ambacho n kikao chenye wazee kama wasila na wajumbe kutoka hadi zanzibar unatarajia nini kama sio ile kauli kuwa sitoki nje kama kunisema nisemeni hapa hapa.

Ila wale wengine kura zao zilirushwa live na zikahesabiwa live mbele ya camera na tukio lote likaoneshwa youtube na azam tv burudani kwa wote
 
Samahan mkuu
Una umri gani na umeishia darasa la ngapi. Kwenye shule n vzr kutoa ushahidi wa cheti futa jina na namba ya cheti tuone.
Nawasiwasi na elimu yako kuwa ni ya shule ya msingi na ni mtoto wa elf2006 au 7
Samahani lakini
A- Level, Mzumbe Secondary School, Morogoro.

Bachelor of Laws, UDSM

LLM, Intellectual Property Law, University of Westminster UK

Una lingine?
 
Umeenda kasi sana rudia kusoma. Hii inaweza kuona hauna umakini kwenye kusoma na kuelewa mambo. Huwenda ndo maana unashindwa kuzisoma ideology ya hivi vyama na kupredict yaliyonyuma yao na imani zao kwa vitendo zikoje huku ukofananisha na maelezo wanayoyatoa kwwnye vipaza ssuti
Hebu rudia kusoma vyema

Sijakuomba maelezo nmesema weka chet futa jina na namba ya cheti mkuu.
 
Cheti changu kinakuhusu nini? We soma mawazo yangu ukiyakubali sawa usipoyakubali sawa.

Sio lazima tufanane bwashee
 
Unaniona mie fala sana kuweka cheti wakati natumia fake id humu?

Ingia field tafuta mtu aliyesoma hizo sehemu. Ndo mimi huyo
Unaniona mie fala sana- nimeshatambua elimu yako na huwenda kazi unayofanya na mazingira unayofanyia kazi zako kupitia lugha yako
Ingia field tafuta mtu aliyesoma hizo sehemu. Ndo mimi huyo- maana yake dunia yote yuko mmoja. Nafikiri hapa hii shule ulisoma mwenyewe. Nachelea kusema kuwa hujafika level hii
Lakini kuombwa ushahidi na kutoa maelezo inaonesha uwezo wako wa kutambua mambo, utulivu kufuatilia mambo na uwezo wa kusikiliza zaidi kuliko kujibu.

Umeshinda mtu wangu. Tuendelee na uchawa tupate hela za chai familia ziende mana ajira hakuna mtaani na uchawa ndo ajira pekee iliyobakia na inayotambuliwa na basata hata kupewa tuzo kabisa

Sio lazima tufanane bwashee
Hii n kauli ya kijana anayeshimda kijiweni na kazi yao kubwa ni uchawa na kubet
Mkuu tuiahie hapo najua kwako hii n ajira na badae una bahasha ila kwenye box la kula utafata moyo wako
 
Unaniona mie fala sana- nimeshatambua elimu yako na huwenda kazi unayofanya na mazingira unayofanyia kazi zako kupitia lugha yako
Ingia field tafuta mtu aliyesoma hizo sehemu. Ndo mimi huyo- maana yake dunia yote yuko mmoja. Nafikiri hapa hii shule ulisoma mwenyewe. Nachelea kusema kuwa hujafika level hii
Lakini kuombwa ushahidi na kutoa maelezo inaonesha uwezo wako wa kutambua mambo, utulivu kufuatilia mambo na uwezo wa kusikiliza zaidi kuliko kujibu.

Umeshinda mtu wangu. Tuendelee na uchawa tupate hela za chai familia ziende mana ajira hakuna mtaani na uchawa ndo ajira pekee iliyobakia na inayotambuliwa na basata hata kupewa tuzo kabisa
Kazi ninayofanya ni consultant na mfanyabiashara.

Exposure yangu hasa kukaa sana ulaya imenifanya nijue dhamira ya watu wa namna yenu kutaka kupata taarifa za watu.

Sijashinda. Nimekugundua tu mapema
 
Back
Top Bottom