Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Mugabe museveni na wengi walikuwa wanaishi wapi ur fu%$/× full off shit hall thinkers we need changes sio from chaguzi hizi but this is like butterfly....
 
Sio kweli kwamba Lissu anaishi Belgium. Je, ni sahihi kusema Samia anaishi Oman? au USA, au nchi zote alizosafiri? Kama unaamini Lissu anaishi Belgium, kwanini usiamini Samia anaishi angani?
Samia anaishi ikulu, lisu hata baada ya uchaguzi mkuu alikimbilia ubelgiji
 
Akicheza na hiyo nafasi wala haichukui muda,watamuondoa kama walivyomuondoa Mbatia.
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
🚮
Ujinga ni mzigo mzito mno
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Mke ubelgiji, watoto USA, baba tanzania, hiyo chemistry unaiona iko sawa kweli? Na ikitokea amepata matatizo na serikali si atakimbilia nje ya nchi huko alikozoea na kutelekeza chama, kama alivyofanya baada ya uchaguzi mwaka 2020?

Sasa kwani kapenda yeye kuwa katika hiyo situation?
 
It depends. Hizi propaganda zinazoletwa na hawa kina Laki Si Pesa, Lucas Mwashambwa, Choice Variables na Tlaatha haziwezi kumrubuni hata mtoto wa darasa la saba.

Ni upuuzi wa kijinga tu. Na kama wanalipwa huyo anayewalipa hana hata akili.
💯
 
Sidhani kama ulikaa ukatafakari maaba hizo akili za kufanya kutafakari naona kabisa hazipo maana unasema Lissu anaishi Ubelgiji wakati jana kapiga kura akiwepo hapo Mlimani city hall!
 
kwani uongo lisu haishi ubelgiji?
Unaishi nae nyumba moja?

Halafu "lisu" ni nani?

Ni maajabu unamtaja mtu hujui hata kuandika jina lake vizuri hata kanuni nyepesi za uandishi kwenye nomino za kipekee zinakupiga chenga.

Hujachelewa kurudi shule kwenye elimu ya watu wazima.
 
Ndio utuambie sasa ataongozaje akiwa nje ya nchi, sijawahi kuona kiongozi anaeongoza kutokea nje ya nchi
Kwakuwa akili huna na ni kidampa buku 7 wa Lumumba ngoja nikusaidie hii historia nyepesi.

Chama kilichoipa uhuru Mozambique kinaitwa FRELIMO kiliundwa Dar es Salaam

Samora Machel aliishi Dar es Salaam na Dodoma [Kongwa]

Huyu ndio aliongoza harakati za kumtoa mreno kutokea Dar es Salaam na ndio alikuwa rais wa kwanza wa Mozambique.

Na wapo wengi tu walioongoza vyama na harakati wakiwa uhamishoni.
 
Kwani ni nini Kazi za Mwenyekiti wa CHADEMA zilizoainishwa na katiba?
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Watoto wake ndio walipigiwa kura na wanacdm?
 
Back
Top Bottom