Lissu ataongozaje chama wakati anaishi Ubelgiji, na familia yake yote ipo huko

Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Lisu leo amekuwa Mbeligiji???Lisu leo siyo raia wa Tanzania tena?Lisu Mungu ambariki abariki makazi yake na jamii yake yote kule kwao Ikungi Singida.
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?
Unalo dogo!; la kuvunda limevunda Halina Ubani....
 
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu mwenyekiti ataongozaje chama akiwa Ubelgiji, au ataongoza kwa video call?

Hizo ni propaganda zako tu. Kwanza hujui wapi wanaishi. Kwa anakwenda sana Ubelgiji basi unafikiri kuwa familia yake yote iko huko. Mbona Abdul anaishi kwa Wajomba Dubai.... Na Maza anaishi Kizimkazi anakuja tu Dodoma kuapisha anarudi kwao.
 
Hahahaha, hii ni propaganda ya kijinga.

Siku watu wengi sio wajinga kama zamani, ndio chama kiko busy na akina Doto magari, akina Nandy nk huku makada mnaburuzwa tu
mkuu, hoja hapa ni lisu kuongoza chama kutokea ubelgiji
 
Back
Top Bottom