Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Yeye na dereva wake walifanya nini ili kuwasaidia polisi hao watuhumiwa wapatikane. Polisi siyo malaika wanategemea ushahidi kufanya kazi zao. Mbona Faru John alijulikana fastaa. Kwasbabu wahusika walitoa ushirikiano.
 
Halafu mnaomba muombewe you killers
 
Ukimwambia mtu upo jf anakuwa anakuona nawe ni mmoja wa magreat thinkers.
Atazimia akija ona hoja zako zilivyo lewa.
 
Yeye na dereva wake walifanya nini ili kuwasaidia polisi hao watuhumiwa wapatikane. Polisi siyo malaika wanategemea ushahidi kufanya kazi zao. Mbona Faru John alijulikana fastaa. Kwasbabu wahusika walitoa ushirikiano.
Vipi faru john mwenyewe, hakujojiwa?
 
Hilo sio tatizo na sio lazima awe rais.
Hayo mnayopanga kumfanyia nayo yatapita, ikiwa Mungu alimshindia kifo hata hayo mnayopanga tena mtetezi wake atamtetea tena
 
Aliyejiandaa kushika nchi ni Lazaro Nyalandu. Akitoswa huyoooo anarudi CCM.
Lissu asubiri kupewe uwaziri wa mambo ya nje.
Akirudi atakamatwa kwa makosa mengine ya jinai yanayomkabili.
ACT Wanatafuta ongezeko la wabunge wao tu, mpango wa kuungana na CHADEMA haupo na hautakuwepo na ningependa usiwepo, mibunge ya CHADEMA na madiwani wao wengi wamekisaliti chama. Twende na ACT kama kilivyo.
 
Kajifunze kuandika kwanza, unakoroga tu.
 
Mkuu hilo tunalifahamu sana, ila tutampigia kura hata akiwa jela.
FOMU za uteuzi tume ya uchaguzi mtu huchukua mwenyewe na kurudisha mwenyewe akishajaza wadhamini haichukuliwi na wakala akiwa jela hakuna wa kumchukulia hairuhusiwi .
hatakuwemo kundi la wagombea akiwa jela
 
kwa nini kuhangaikia kuingia gharama wakati inajulikana iko siku atajileta mwenyewe kwa nauli yake
Hahaaa akija wasiojulikana mtawakamata?? Kwani Lissu anakosa gani?? Yeye anatuhumu, mnamkamata kwani ni mtuhumiwa??
 
FOMU za uteuzi tume ya uchaguzi mtu huchukua mwenyewe na kurudisha mwenyewe akishajaza wadhamini haichukuliwi na wakala akiwa jela hakuna wa kumchukulia hairuhusiwi .
hatakuwemo kundi la wagombea akiwa jela
Mbinu mfu. Huo ni woga tu. Lissu anatisha kama ukoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…