Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Kitakuwa ni kifungo cha kisiasa! Kumbuka siasa za ndani za vyama zimeisha, sasa mnataka kumzuia mgombea ambaye siyo wa ccm? Kama mlivyomfanyia Membe kinyume na katiba ya chama, sasa na katiba ya nchi mnataka kuendelea kuisigina kikatili kabisa!
We shall overcome
 
Utaokoteza viroja mpaka lini?
 
Aise itabidi hizi habari Tundu naye azipate, maana alipokuwa anarejea ile kipindi na kuishia Nairobi alielezea hofu yake ya kurudi bila serikali kumhakikishia usalama. Arudi tu apambanie nchi yake, afe kishujaa.
 
aisee jamaa akitua Tz atakuwa kwenye maximum security

Marekani na Waisrael wana mifumo ya Drone ambayo inaweza ku-trace na kufuatilia nyendo za Lissu from day one atakapotua njini Tanzania. Lakini pia Lissu lazima atakuwa na Ile CHIP yenye Radio waves ili kuweza kupiga picha, kunukuu sauti na kutuma kwenye Kituo maalum!! Kwa yeyote atakaye jaribu kumdhulu TAL hakika atanaswa Kama Panzi! Rejea mauaji ya Jenerali Qasem Soleiman wa Iran.
 
Drone hurushwa kwa kibali kama ndege za abiria. Na anayecontrol anga la Afrika Mashariki ni nani vile?????
 
Hivi hakuna maraisi wa marekani waliowahishwa ahera wakiwa madarakani tena mbele ya hadhara za watu na dunia? Achana na watu na roho mbaya zao wakiamua jambo lao.
 
Hata wao wanajua kuwa siku mh Lissu akiingia hapa nchini vyombo vyote vya kiulinzi vya kimataifa macho yao ni kwa Lissu.
Kwa Lipi alilowaahidi hao mabeberu.........jamaa hawalambagi mkono tupu lazima kuwe na kitu umewaahidi ndo watakupigania
 
Usiogope njama na vitisho vya Mafarisayo. Vyote vitapita na wao watakuwepo kutuona tunashinda.
AMEN
 
Hapa sio N Korea kwa Kim Jong Un au China kwa Sh Jimping ni Tanzania yetu sote sio kwa mkoloni mweusi CCM peke yake!!
Lissu rudi ugombee urais kwa uhuru, acheni vitisho na figisu, kapona kufa acha arudi sasa!!
Wakati wa kuogopa vitisho umepita. Hakuna tena cha kupoteza isipokuwa ukandamizaji wao.
 
Hapa sio N Korea kwa Kim Jong Un au China kwa Sh Jimping ni Tanzania yetu sote sio kwa mkoloni mweusi CCM peke yake!!
Lissu rudi ugombee urais kwa uhuru, acheni vitisho na figisu, kapona kufa acha arudi sasa!!
Wakati wa kuogopa vitisho umepita. Hakuna tena cha kupoteza isipokuwa ukandamizaji wao.
 
Drone hurushwa kwa kibali kama ndege za abiria. Na anayecontrol anga la Afrika Mashariki ni nani vile?????

Hivi uliwahi kuona wapi ndege za kivita au makombora ya kivita yakahitaji kibali? Tuambie makombora ya Bwana mdogo Kim Un anaporusha makombora yake umbali wa zaidi ya km 2500 Nani humpa kibali? Vita ni Vita Mura!
Wewe subiri muziki wake tu!
 
Kwani nchi pesa za ujenzi zinatoka wapi? Hizo bank za world bank ni mabeberu! Inaelekea watu wengi hata hawajui mabeberu ni nani?

Sema watu wengi ni wajinga.Na ndiyo mtaji wa sisiem
 
Hivi uliwahi kuona wapi ndege za kivita au makombora ya kivita yakahitaji kibali? Tuambie makombora ya Bwana mdogo Kim Un anaporusha makombora yake umbali wa zaidi ya km 2500 Nani humpa kibali? Vita ni Vita Mura!
Wewe subiri muziki wake tu!
Kim hurusha ndani ya himaya yake. Pia Kim bado yuko kwenye vita ya Korea na Korea kusini/Marekani.

Sisi hatuko kwenye vita ya kijeshi na taifa lolote, wakirusha silaha za vita kwetu, wanakuwa wamelianzisha. Hivyo basi salia yako, yangu na babu na bibi zetu kule vijijini inakuwa sandakarawe.

Marekani ana uchaguzi mkuu naye mwaka huu, hivyo ana yake ya kupambana nayo.

Israel mwaka mzima wanavita ya kisiasa wameshindwa kuunda effective government, Mwaka huu tu wamesharudia uchaguzi wao mara 3 na bado hakijaeleweka. Yaani wao kwa wao ni vita na Netanyahau bado kesi zake za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka zinaunguruma.

Hawa mabavu wawili uliowataja utahitaji kuwa na sababu extraordinary kuwafanya wachukue mzigo wa kuivamia Tanzania kwa sasa. Na Tundu Lissu japo ana umuhimu kwa watu wake, na hata kama anatumiwa na hawa watu, maisha/uhai wak sio muhimu kiasi hicho kwa mataifa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…