ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
We shall overcomeKitakuwa ni kifungo cha kisiasa! Kumbuka siasa za ndani za vyama zimeisha, sasa mnataka kumzuia mgombea ambaye siyo wa ccm? Kama mlivyomfanyia Membe kinyume na katiba ya chama, sasa na katiba ya nchi mnataka kuendelea kuisigina kikatili kabisa!