Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Lisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha

Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost

View attachment 1505613
Utaokoteza viroja mpaka lini?
 
Usalama wa Tundu Lissu umehakikishwa na Mungu Muumba wa Mbingu na Nji! Yeye aliyemlinda asiuawe na Risasi zaidi ya 30 ndiye atakayemlinda anaporojea.
Hawa jamaa wanaojifanya HAWAJULIKANI ilhali Watz na Dunia inawafahamu wasije wakarudia Hilo kosa Tena....!!!! This time around watauona muziki wa Watz wapenda AMANI na DEMORASIA ya nji hii!
Aise itabidi hizi habari Tundu naye azipate, maana alipokuwa anarejea ile kipindi na kuishia Nairobi alielezea hofu yake ya kurudi bila serikali kumhakikishia usalama. Arudi tu apambanie nchi yake, afe kishujaa.
 
aisee jamaa akitua Tz atakuwa kwenye maximum security

Marekani na Waisrael wana mifumo ya Drone ambayo inaweza ku-trace na kufuatilia nyendo za Lissu from day one atakapotua njini Tanzania. Lakini pia Lissu lazima atakuwa na Ile CHIP yenye Radio waves ili kuweza kupiga picha, kunukuu sauti na kutuma kwenye Kituo maalum!! Kwa yeyote atakaye jaribu kumdhulu TAL hakika atanaswa Kama Panzi! Rejea mauaji ya Jenerali Qasem Soleiman wa Iran.
 
Marekani na Waisrael wana mifumo ya Drone ambayo inaweza ku-trace na kufuatilia nyendo za Lissu from day one atakapotua njini Tanzania. Lakini pia Lissu lazima atakuwa na Ile CHIP yenye Radio waves ili kuweza kupiga picha, kunukuu sauti na kutuma kwenye Kituo maalum!! Kwa yeyote atakaye jaribu kumdhulu TAL hakika atanaswa Kama Panzi! Rejea mauaji ya Jenerali Khalifa wa Iran.
Drone hurushwa kwa kibali kama ndege za abiria. Na anayecontrol anga la Afrika Mashariki ni nani vile?????
 
Hivi hakuna maraisi wa marekani waliowahishwa ahera wakiwa madarakani tena mbele ya hadhara za watu na dunia? Achana na watu na roho mbaya zao wakiamua jambo lao.
 
Hata wao wanajua kuwa siku mh Lissu akiingia hapa nchini vyombo vyote vya kiulinzi vya kimataifa macho yao ni kwa Lissu.
Kwa Lipi alilowaahidi hao mabeberu.........jamaa hawalambagi mkono tupu lazima kuwe na kitu umewaahidi ndo watakupigania
 
Lisu anapaswa awe makini na ajiulize, kama alipigwa risasi na mpaka sasa hakuna kesi wala mtuhumiwa, je waliompiga hawtampiga tena na kusitokee chochote? Hao mabeberu walikuwepo kabla na baada ya kupigwa na hawajafanya na hawatafanya chochote. Pili anakesi zilikuwepo na anaweza kuwekwa kizuizini kisheria na akasota humo mpaka ucgaguzi uishe?
Usiogope njama na vitisho vya Mafarisayo. Vyote vitapita na wao watakuwepo kutuona tunashinda.
AMEN
 
Hapa sio N Korea kwa Kim Jong Un au China kwa Sh Jimping ni Tanzania yetu sote sio kwa mkoloni mweusi CCM peke yake!!
Lissu rudi ugombee urais kwa uhuru, acheni vitisho na figisu, kapona kufa acha arudi sasa!!
Wakati wa kuogopa vitisho umepita. Hakuna tena cha kupoteza isipokuwa ukandamizaji wao.
 
Hapa sio N Korea kwa Kim Jong Un au China kwa Sh Jimping ni Tanzania yetu sote sio kwa mkoloni mweusi CCM peke yake!!
Lissu rudi ugombee urais kwa uhuru, acheni vitisho na figisu, kapona kufa acha arudi sasa!!
Wakati wa kuogopa vitisho umepita. Hakuna tena cha kupoteza isipokuwa ukandamizaji wao.
 
Drone hurushwa kwa kibali kama ndege za abiria. Na anayecontrol anga la Afrika Mashariki ni nani vile?????

Hivi uliwahi kuona wapi ndege za kivita au makombora ya kivita yakahitaji kibali? Tuambie makombora ya Bwana mdogo Kim Un anaporusha makombora yake umbali wa zaidi ya km 2500 Nani humpa kibali? Vita ni Vita Mura!
Wewe subiri muziki wake tu!
 
Kim hurusha ndani ya himaya yake. Pia Kim bado yuko kwenye vita ya Korea na Korea kusini/Marekani.

Sisi hatuko kwenye vita ya kijeshi na taifa lolote, wakirusha silaha za vita kwetu, wanakuwa wamelianzisha. Hivyo basi salia yako, yangu na babu na bibi zetu kule vijijini inakuwa sandakarawe.

Marekani ana uchaguzi mkuu naye mwaka huu, hivyo ana yake ya kupambana nayo.

Israel mwaka mzima wanavita ya kisiasa wameshindwa kuunda effective government, Mwaka huu tu wamesharudia uchaguzi wao mara 3 na bado hakijaeleweka. Yaani wao kwa wao ni vita na Netanyahau bado kesi zake za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka zinaunguruma.

Hawa mabavu wawili uliowataja utahitaji kuwa na sababu extraordinary kuwafanya wachukue mzigo wa kuivamia Tanzania kwa sasa. Na Tundu Lissu japo ana umuhimu kwa watu wake, na hata kama anatumiwa na hawa watu, maisha/uhai wak sio muhimu kiasi hicho kwa mataifa hayo.
 
Back
Top Bottom