Bro ya nini kuandikia mate wino ungalipo? Huyo akirudi ni NDANI tu. Mbwa koko kubweka asili yake.
Jiwe atafanya nakuhakikishia! Labda USA walete karibu ile meli ya kivita Saratoga! au USS Theodore Roosevelt (CVN-71 karibu na bahari ya Hindi 🤣 🤣 🤣 🤣Hili hawatathubutu! Wakithubutu, watakakuwa wameshaiharibu Tanzania moja kwa moja.
Unaongelea dunia ipi mkuu? Ingekuwa hivyo serikali za Kqgame na Museveni tungekuwa tushazisahau.Serikali IKICHEZA na Lissu itakuwa historia.
Mkewe hana shida. Ila yeye LAZIMA ashughulikiwe kisheria kwanza. Jinai haiishi kwasababu za kipumbavu kama zake!
Jifunze kulima hata bustani,hela la bure mwisho October mkoloni mweusi anafurushwa kwaoUbongo wako umejaa manailoni.
Kesi kutoka kwa waliotaka kumuuwa ni kesi kwa akili yako? Tafuta wauwaji kwanza.
Hakumzuii kupigiwa kura.Bro ya nini kuandikia mate wino ungalipo? Huyo akirudi ni NDANI tu. Mbwa koko kubweka asili yake.
Jiwe atafanya nakuhakikishia! Labda USA walete karibu ile meli ya kivita Saratoga! au USS Theodore Roosevelt (CVN-71 karibu na bahari ya Hindi 🤣 🤣 🤣 🤣
Lisu ana kosa gani? Snowden alifanya makosa ya wazi, wala hakuna mjadala!Mbona hata huko US wanamsubiri Snowden kama anavyosubiriwa lisu huku!
Ndo wanaochangia bajeti yako ikiwemo kukujengea vyooUtakuwa unatumia sheria za IDU za kutetea mashoga duniani.
Lisu hakutenda kosaMbona hata huko US wanamsubiri Snowden kama anavyosubiriwa lisu huku!
Kitakuwa ni kifungo cha kisiasa! Kumbuka siasa za ndani za vyama zimeisha, sasa mnataka kumzuia mgombea ambaye siyo wa ccm? Kama mlivyomfanyia Membe kinyume na katiba ya chama, sasa na katiba ya nchi mnataka kuendelea kuisigina kikatili kabisa!Kwani sheria inasemaje ukikiuka masharti ya dhamana?
Satellites zote zitaelekezwa Tanzania! Mwambieni Sirro huu si wakati wa kuwapiga watanzania kama “mbwa koko”! Haya!
Una uhakika?Huyu hatii maguu kabisa.. anazingua tu.
Unamtisha nani wewe?Satellites zote zitaelekezwa Tanzania! Mwambieni Sirro huu si wakati wa kuwapiga watanzania kama “mbwa koko”! Haya!
Una uhakika?
Tatizo letu kumbukumbu ndogo na hii Mitandao ya kijamii hatui - explore kma inavyohitajika.Hili hawatathubutu! Wakithubutu, watakakuwa wameshaiharibu Tanzania moja kwa moja.
Hofu ya nn subiria