Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bro ya nini kuandikia mate wino ungalipo? Huyo akirudi ni NDANI tu. Mbwa koko kubweka asili yake.
Hilo mbona sio tatizo, hata mkiona haitoshi kumuweka ndani mwenyewe, muwekeni na mkewe. Lakini huyo tutampigia kura hata akiwa jela.