Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Magu hajawahi kushinda na ndio mana anapambana kufakupona asije haibika!
 
Tulia dawa iwaingie vyema kusudi mtende haki kwa wanao wakosoa
Ha ha ha. Mmawia hamtaki tu kukubali ukweli kuwa upinzani wa nchi hii hauna mipango wala maono.
Leo watu wanakumbuka tume huru wakati miaka 5 wamekaa bila kufanya chochote.
Pili, miaka 5 hamna hoja mbadala, alternative solutions kama inachofanya Serikali hakiridhishi. Bora Zitto kwa hili. Wengine busy na mediocre issues tu kama zile za expansion joints za Hostel za UD.
 
mhalifu hahitaji brain ni kukamata tu
Mkuu jiwe ni MHALIFU, unapinga kitu gani? Haiwezekani watu watumie silaha za kivita MCHANA KWEUPE kushambulia Tundu lissu, na hadi leo hii hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
 
Hakika jiwe ni MHALIFU namba moja hapa nchini, hivi aliwaza nini hadi kushambulia mtanzania mwenzake kwa SILAHA ZA KIVITA tena MCHANA KWEUPE?
 
Back
Top Bottom