Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
That's one of multiple definitions of surprises boy...... OVERDOING THINGS!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's one of multiple definitions of surprises boy...... OVERDOING THINGS!
Mkuu haya ni mapambano hii ni vita. Siraha yoyote ambayo inaweza kukusaidia katika kushinda vita hiyo kunitumia ni halali. Katika vita nchi hubomoa madaraja yao wenyewe ili kuzuia adui asisonge mbele. A nacho fanya Lisu kisiasa ni sahihi kabisa. Mimi wala si mwana CDM wala CCM.Anatafuta kura za huruma kama ambavyo alifanya akigombea umakamu mwenyekiti
Anasaka kura za huruma wakati hana huruma na mwenyekiti wake Mbowe anamponda anaponda hadi Chadema na kukivua nguo na kukichafua kionekane rushwa tupu
Hana huruma kuchafua image ya chama halafu yeye anataka huruma za wapiga kura
Hayuko sahihi
Image ya chama ndio kila kitu
Safi sana.Ana qualify
Na iwe ushindi.Hayo ni MATUNDU YA RISASI.
Hili ndio gari alilotumia kuenda kurejeshea FOMU ya kugombea Nafasi ya MWENYEKITI.
Hili ndio gari analitumia leo siku ya UCHAGUZI wa nafasi ya MWENYEKITI.
Hili gari ndio litamrudisha NYUMBANI kama mshindi wa NAFASI YA MWENYEKITI.
Gari inaendelea kuwa sehemu ya HISTORIA kwenye maisha ya TAL.
Kila lakheri.🙇🏾♂️🤝
Wakifanya kazi yao na walilipwa. 'Mission accomplished' walijisemea huku wakiwa na glass za champagne.Siundi picha wale waliompiga risasi wanajisikiaje wakimuona na hilo gari leo.
Lissu anadeka sanaMgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika ubavu wa kushoto ambao alikaa wakati akishambuliwa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho.
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari jeusi la Land Cruiser lenye namba za usajili T216 DHH. Kitendo cha Lissu kuingia Mlimani City akiwa ndani ya gari aliyopigwa nayo risasi, tena ikiwa bado na matundu ya risasi, kumeibua hamasa kubwa kutoka kwa wafuasi wake.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotw
Kwetu imezidi aiseeSiyo Bongo tu ndugu yangu, Duniani kote siasa ni propaganda!