Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

Status
Not open for further replies.
Mayalla Kwa Kisukuma ni Njaaa
 
Kodi zetu zinatumika vibaya sana Yani?
 
Cdm mjitafakari kuwa kundi la ccm linaliopwa na ccm ili mpotee kisiasa.mjifunze kutoka kenya
 
Uzushi huu tunajua lengo lake ,wajinga tu ndo watakuamini
 
Siku Lisu akitamka Kwa mdomo wake na Mbowe Kwa mdomo wake ndipo nitakapoamini hawaelewani. Lakini propaganda za Chawas mm no mtasubiri sana.
 
Vipi hapo ilikuwaga pc ya dingii
 
Badala ya kumtukana aliyeleta hoja,- nilitegemea wote mlioguswa na hoja yake mngejikita katika kuelezea ukweli mnaoufahamu ili uongo wake uwe dhahiri. Kujibu hoja kwa jazba na matusi ni dalili ya udhaifu wa kifikra na kimaadili
Haihitaji hata uwe umefika darasa la 7 kujua hapa hamna hoja zaidi ya kiroja.
 
Habari na Mwandishi wetu
Rukasi Mashamba
 
Badala ya kumtukana aliyeleta hoja,- nilitegemea wote mlioguswa na hoja yake mngejikita katika kuelezea ukweli mnaoufahamu ili uongo wake uwe dhahiri. Kujibu hoja kwa jazba na matusi ni dalili ya udhaifu wa kifikra na kimaadili
Ukweli ni kwamba wamepigana mnoooo.....mbowe kapoteza meno ya sebuleni mawili na lisu kapasuka jicho la kulia juu na ametoneshwa mguuu amelazwa.....
 
Ni hatari mno kwa viongozi wote hawa kutumia chopa moja. Yangu ni hayo tu makamanda🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

Lissu ni ngumu sana kuelewana naye,ni mtata by nature,nasikia hata mkewe siku hizi hawaelewani,pia kaka yake tumbo moja hawapatani kabisa,sijui huyu mtu ana shida gani kwa bichwa lake
Kwa nini unamfuatilia sana Lisu?
 
Badala ya kumtukana aliyeleta hoja,- nilitegemea wote mlioguswa na hoja yake mngejikita katika kuelezea ukweli mnaoufahamu ili uongo wake uwe dhahiri. Kujibu hoja kwa jazba na matusi ni dalili ya udhaifu wa kifikra na kimaadili

Huo upuuzi usio na chochote, unauita hoja?

Hivi nikija hapa nikasema kuwa nimepenyezewa habari Tony Laurent ni jambazi, haelewani na ndugu yeyote wala majirani. Utaiita ni hoja?

Huyu kaleta upuuzi wake hapa usiokuwa na chochote cha kuashiria hayo aliyoyanena, kwa nini watu wasiuseme upunguani wake?

Hata hao wanaowalipa chawa punguani kama huyu kwa mada zisizo na chochote, wanazidi kudhihirisha matokeo ya ule utafiti wa TWAWEZA.
 
Unatia aibu ukiwa wapi?
hembu gentleman,
weka sawa fedheha hii ya
waandamizi hawa muhimu sana chadema..

hali hii inasikitisha sana, inatafakarisha sana, na kwakweli inasononesha sana wanachama 🐒
 
Tumekusikia mke wake Lissu!
Punguza kutoa taarifa ambazo unapewa na mumeo akiwa anakupumulia kifuani.
 
Miimi nachopenda wako pamoja kwenye msafara!
Wanaendelea kuelimisha watu wajue haki zao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…