Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

Status
Not open for further replies.
Yes!!

Yaani ajali ya Wangwe ndiyo mauji. Yaani CCM kumejaa washirikina na watu wenye roho mbaya Sana...

Lissu alipopigwa risasi walisema alistahili, Leo wanasema Mbowe anataka kumuua.

Yaani mtu aliyeshikilia dripu Toka Dodoma mpaka Nairobi ili Lissu apone Leo ndiyo atake kumuua Lissu...!!!
Yesu alipowaambia wale thenashara " Mmoja Wenu atanisaliti" wakaulizana Wote " je ni wewe?" Lakini Yuda Iskarioti hawakumuuliza kwa sababu alikuwa amebeba mkoba wa Hazina hivyo walimwamini Sana

Ndio hayo ya Drip sasa 😂😂
 
Hili suala niliwahi kusema, goodluck amechokoza sana polisi, lakini hawakumgusa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom