Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

Status
Not open for further replies.
Isijekuwa ni laana za kutukana watu.

Alaaniwe Lisu, ukose kulaanika wewe usiye na faida kwa jamii?

Kwa taarifa yako, Lisu yu mzima wa afya. Hajasafiri kwenda kokote, yupo nchini. Ratiba waliyopanga kuwa pamoja na Mbowe ili kuwajibu punguani waliosema kuna mfarakano, imekamilika. Na sasa Lisu anaanza kanda nyingine, huku Mbowe akiendelea na kanda ya Kaskazini.
 
Mweka hazina wa chadema asante kwa taarifa.
 
Kama matusi ni faida, elewa kuwa faida hiyo mimi sina.
 
Nimekuelewa

Kule anaweza kubanikwa akarudi Nchini akiwa ndafu 🐼
Heat wave hutokea nchi nyingi . Hulijuwi hilo?

Kwa Mtanzania ana Melanin za kutosha mwilini mwake asiwe na shaka, lakini kama kala vidonge au sindanoi za ku[punguza melanin ili awe mweupe, hapo asilisogelee jua kali la wazi hata la Tanzania, atajibanika kweli.

Ukitazama vifo vyote ni vya watu wenye au wanaozalisha melanin kidogo milini mwao al maaruf "weupe".
 
Kwa hiyo aliyeleta hizi habari ni mzushi wa Mbowe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…