Kabudi yupi?huyu huyu anaetoa macho na kuongea kwa tashwishi?Kumbe mnashindana hahaha hiyo timing ni coincidence au?, kuna watu maisha magumu sana aisee, naona walipoona P.Kabudi kapewa steji na kujadiliwa huko Kenya hawakulala, sasa unashindana na mtu hata asiyejua wala kujali kama wewe ni mshindani wake? I mean Kabudi sidhani hata kama anajua mnashindana naye, yeye yuko kazini na wala hashindani mtu, kujitesa tu buree!
Uzuri wa jf ina reserve nzuri ya kumbukumbu tusikimbiane tu, wapi Dr slaa? Nimeuliza tu.Lissu ndiye mpinzani ambaye sina shaka naye kabisa kwa 100% anatakiwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi
Dr.Mihogo mko nae huko kwenu.Uzuri wa jf ina reserve nzuri ya kumbukumbu tusikimbiane tu, wapi Dr slaa? Nimeuliza tu.
Watu wawili ambao wanaweza kuitia kiwewe CCM ni Tundu na Membe tu tuelekeapo 2020. Hawa wameweza kujipambanua vyema, na hata Mh. Rais wanamkosesha usingizi sawia.
Usishangae wakaungana wakati ukifika
Dah..Kuna watu wameumbwa kuwa wapinzani ...mmojawapo ni TL...Hafai kuwa Rais hata kidogo...Upinzani ndiyo unamfaa 😎Lissu ndiye mpinzani ambaye sina shaka naye kabisa kwa 100% anatakiwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi
Good nadhani sasa Lissu anakaribia kurudi nyumbani, kama kafika Kenya, naamini in twoor three days atavuka hapo Namanga au Hororo au Sirari (karibu na kwao mkewe) au Misenyi ili aingie nyumbani kwao, TANZANIA. Karibu nyumbani Mwanaharakati wetu.
Atapita route gani ndugu?Naona umeamua kumpangia kbs na route!halo halo...huyu sio wa kupita hizo route bwana!
Atapita route gani ndugu?
OK labda route hiyo watampangia akina nani kama unajua?Ww subiri..hawez tuambia!
OK labda route hiyo watampangia akina nani kama unajua?
Kwetu wapi mkuu?Dr.Mihogo mko nae huko kwenu.
CCMKwetu wapi mkuu?
Intelijensia ya mwenyekiti kukaa madarakani muda mrefuUnadhan atakuja na njia tunayoijua ss..naami i tutastukia yuko nchini!Chadema wana intelijensia zao mkuu!_[emoji4]