LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

Nami cjaelewa kwann hawaja show up ili kuleta hoja za kisheria kuhusu suala la DP world ili wakina LISSU tuwaone ni wababaifu!!!

Hoja za Dk. Slaa, LIssu, Prof. Shivji, wakili msomi Mwabukusi na wa namna hiyo siyo za kuingia kichwa kichwa. Waliko watakuwa wanachungulia na kujisemea hiiiiiiiiiii:

IMG_20211016_132442_593.jpg


Kama mapanya tu!
 
Mh [emoji848] ngoja manguli wa mikataba waje akina.. Lord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMARS tuone wanadadavua vp kisheria!!
HIMARS kala ban baada ya jana kuzidiwa kwa hoja na kuanza kurusha lugha zisizofaa hapa jukwaani.DPW imemfanya awe kama kichaa kwa kuitetea huku akitukana matusi hovyo,pengine akirudi atakuwa kajifunza jinsi ya kupangua hoja za wadau wanaopinga mkataba.
 
Uyo nae nipimbi tu kutwa kujipendeleza kwa majirani kutafuta undugu tunajua kuwa waarabu wakichukua iyo bandari hamn pakupitishua midway yenu ya kulevya
Kumbeeee !! Duh 🙄 kweli panapofuka moshi pana moto wahenga walisemaga !! Wacha iendelee kunyesha tuone panapovuja !!

Ila watu wasijisahaulishe kale kamsemo ka kilatini ‘ locuta causa finita ‘
 
Back
Top Bottom