LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

Kumbeeee !! Duh 🙄 kweli panapofuka moshi pana moto wahenga walisemaga !! Wacha iendelee kunyesha tuone panapovuja !!

Ila watu wasijisahaulishe kale kamsemo ka kilatini ‘ locuta causa finita ‘
Ivi ujiulizi kwanini leo wanageuka kumsifia magufuli wakati walikuwa wanamponda? Walijua huyu mama watakuwa wanapiga madili bila shida kumbe sio alipogusa bandari watu wote wameamka kuaza kufoka ni uongo mtupu wanatetea ugali wao
 
Ivi? Ujiulizi?!

Yanatia ukakasi hata kabla ya kuanza kukusoma.
 
Ukakasi upo kwenye ndizi mimi sio ndiz mzee kuwa na adabu kidog
Ndiz, kidog?!

Ukakasi hauko kwenye ndizi peke yake. Kama hujui ingia field kutafuta. Huko utathibitisha unao mwingi kuliko zinazoweza kuwa nazo ndizi!

Habari ndiyo hiyo ndugu mhitimu tokea kwenye shule ya kata.
 
Anajua kila kitu ila kwa makusudi anapanga kupotosha watu ,hao ndo wana wasiasa.

Wanaweza hata kumsingia mtu mauaji ili mradi tu kuleta wasiwasi kwa wananchi... kwa ufafanuzi wake sioni hoja ila naona anapotosha zaidi...

Hoja za Lissu hapa ni:

1. Rais ana mamlaka makubwa mno kwa mujibu wa Katiba.
2. Bandari zote za bara kapewa kuendesha DP World bila ukomo, lakini siyo za Zanzibar.
3. Aliyefanya #2 ni rais mzanzibari akidai kafanya kwa manufaa yetu.

Wenye kuona hivyo dhidi yao ni kama unavyowaona hapa:

Screenshot_20230629-071736.jpg

Hoja hupingwa kwa hoja.

Hoja zenu ziko wapi tuone?
 
Hoja za Lissu hapa ni:

1. Rais ana mamlaka makubwa mno kwa mujibu wa Katiba.
2. Bandari zote za bara kapewa kuendesha DP World bila ukomo, lakini siyo za Zanzibar.
3. Aliyefanya #2 ni rais mzanzibari akidai kafanya kwa manufaa.

Wenye kuona hivyo dhidi yao ni kama unavyoona hapa:

View attachment 2677136

Hoja hupingwa kwa hoja.

Hoja zenu ziko wapi tuone?
Hoja ni dhaifu sana na kwa mada yeyote mtu ukiamua kuandaa hoja unapata hata uweke elimu na pesa kila kona utapata hoja za kutetea.

Yupo kisiasa zaidi wewe na yeye kuna mtua anajua ukomo swiss port pale JNIA.

Unaposema ni mzanzibar mbona ameshakuwa Rais wako 😅😅huna la kufanya hata ulete ubaguzi...Kwamba huyo lissu anatawaliwa na mzanzibar na kuhus muungano yeye bado mdogo sana hajui lolote.
 
Mbona nyepesi ni hoja zako? Za Lissu ziko wazi:

1. Je, rais Hana mamlaka makubwa mno kwa mujibu wa Katiba?
2. Je, bandari zote za bara kakabidhiwa DP World Kwa mujibu wa makubaliano yaliyopo?
3. Je, kuna bandari yoyote ya Zanzibar kwenye makubaliano haya?
4. Je, rais ni mzaliwa wa Zanzibar?
5. Je, maslahi tokea DP World hayawahusu wazanzibari?

Ungejikita kwenye hoja zake hoja kwa hoja hudhani kuwa ungejitendea haki zaidi?

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Back
Top Bottom