LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

Mbona nyepesi ni hoja zako? Za Lissu ziko wazi:

1. Je, rais Hana mamlaka makubwa mno kwa mujibu wa Katiba?
2. Je, bandari zote za bara kakabidhiwa DP World Kwa mujibu wa makubaliano yaliyopo?
3. Je, kuna bandari yoyote ya Zanzibar kwenye makubaliano haya?
4. Je, rais ni mzaliwa wa Zanzibar?
5. Je, maslahi tokea DP World hayawahusu wazanzibari?

Ungejikita kwenye hoja zake hoja kwa hoja hudhani kuwa ungejitendea haki zaidi?

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
Ni nyepesi sana na za hazina mashiko yaani za kitoto kabisa.

Unauliza Rais ni mzaliwa wa Zanzibar.

Nauliza swali je kutokana na katiba Rais samia ni Rais wa wazanzibar au Tanganyika?
 
Mkuu tunayasikia lkn mimi hili la kuuzwa silioni huenda kwasababu, kama inavyodaiwa, mimi ni Mzenji na Mzenji kwa mtazamo wa wanajamii forum wengi ni Mwarabu, kwaivyo nikisema nitaambiwa nawatetea Waarabu!

Hapana mkuu tuko wengi wenye mawazo chanya kuhusu mustakabala wa nchi zetu. Tupo wengi tunaoamini sote ni wahanga wa mazingira tulimo.

Shime ndugu, funguka tusaidieni mawazo. Haki ni haki tu iwe Zanzibar au Tanganyika.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ni nyepesi sana na za hazina mashiko yaani za kitoto kabisa.

Unauliza Rais ni mzaliwa wa Zanzibar.

Nauliza swali je kutokana na katiba Rais samia ni Rais wa wazanzibar au Tanganyika?

Hatujaacha kutambua au kurejea alikozaliwa rais na hakuna jipya hapo. Hoja ya Lissu si alikozaliwa rais.

Bitiama, Lupaso, Msoga, Chato nk kupo kwenye rekodi tunakutumbua na haijawahi kuwa taabu.

Zingatia teuzi zilipojikita Kanda ya ziwa tulisema. Hapa tunasema aliyeuza bandari za bara ni mzanzibari labda kama wewe unadhani ni mtu wa bara?
 
Hapa ndio najiuliza hoja ya Uzanzibar inakuja leo kwa kuwa tu rais ni mzanzibar au?
Maana kuna mambo mengi Serikali inaingia mikataba na hayasemwi kama huyu ni mzazibar au mtanganyika
 
Hatujaacha kutambua au kurejea alikozaliwa rais na hakuna jipya hapo. Hoja ya Lissu so alikozaliwa rais.

Bitiama, Lupaso, Msoga, Chato nk kupo kwenye rekodi tunakutumbua na haijawahi kuwa taabu.

Zingatia teuzi zilipojikita Kanda ya ziwa tulisema. Hapa tunasema aliyeuza bandari za bara ni mzanzibari labda kama wewe unadhani ni mtu wa bara?
Mkuu hoja ya Lissu ni alikozaliwa Rais maana anaweka msisitizo za Zanzibar hazina manufaa nashindwa kufahamu huyu mwanasheria wa aina gani anashindwa kutofautisha Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Muungano.

Bora hata angetoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa Tanganyika kuwa na serikali yake ili hata siku za mbele Rais akiwa Mzanzibar haya yasiwepo.
 
Kwamba rais ni mzanzibari hiyo siyo hoja ya Lissu labda kama unataka kutulazimisha tu ndugu.

Hoja ni kuwa bandari zimeuzwa na aliyeziuza anautambulisho wake kutokea Zanzibar kama Butiama, Lupaso, Msoga au Chato.

Hoja haikimbiwi. Hoja hujibiwa kwa hoja. Watu Gani nyie mliopanga kukimbia hoja Ili kulazimisha humo zenu?
 
Kundi la pili ukiwamo wewe na Ustaadh Mwaipopo mnasema ni uzushi:

Screenshot_20230629-071736.jpg

Hudhani labda mkahakiki kwanza CV zenu?
 
Samia nilijua 100% kuna siku tutapigwa, tena pigo takatifu na imetimia, kumbe yeye ndo kawa wa kwanza kusign huo mkataba, yaani katika Marais wote waliopita , pamoja na usanii wa Kikwete lakini hakuwahi yeye kama yeye kuchukua kalamu na kusign kiasi kwamba hawezi ruka hii issue ya DP world, na hawezi kumwajibisha mtu yeyote maana yeye ndo mtu wa kwanza kuweka wino, Rais Mburula kabisa kutokea nchi hii.
 
Back
Top Bottom