Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said mkuu.Kuna pesa wanatoa wazungu baada ya Samia kukubaliana na masharti ya kuulegezea upinzani.
Mojawapo ya masharti ni kukubaliana na demokrasia. Mtihani mgumu kwani kwa kukubaliana na demokrasia unakuwa umejengeka urahisi wa kuingiliwa kwenye siasa za ndani.
Ni muda wa mfumo kuwa na watu makini sana, adui anakuwa karibu zaidi kulinganisha na kipindi kile cha JPM.
Nilijua labda utakuja na hoja za kujibu ila mwisho wa siku umeishia kulalama basi. (size) aaahKuandika kwenyewe mbona taabu mno ndugu?
Ili?!
kua?!
ebu?!
Dalili za mhitimu toka shule mpya kabisa ya kata.
Huna tofauti wewe na yule sheikh ubwabwa. Mkiwa washikiwa akili msidhani na wengine nao pia.
Pambaneni na hali zenu. Wengine siyo size zenu!
Nilijua labda utakuja na hoja za kujibu ila mwisho wa siku umeishia kulalama basi. (size) aaah
CHADEMA wao ni wapinzani wetu katika kila kitu. Jifunzeni sasa kwamba ata siku moja amna wananchi wenye kuipenda Tanzania watawai kuasikia.Propaganda za Siasa sio faida kwetu