Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Walitudharau sana kutusainisha na Dubai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishia kusikia tu Bandari zimeuzwa...Lakini sisikii mtu akitaja kiasi au pesa/Bei ya hizi bandari.
Lakini pia,sijasikia mwanasheria au mwanaharakati akipinga ushirikiano huu kwa misingi ya kiuchumi bali wote wamejikita kwenye hoja za kisiasa na propaganda basi.
Mwisho kabisa....Mh.Lissu na wenzake wapo upinzani na kazi yao walioichagua ni upinzani dhidi ya CCM ,kwahiyo maswala ya wao kupinga ni haki yao.Walipinga manunuzi ya ndege,ujenzi wa SGR,ujenzi wa JNHHP nk sasa upingaji wao tujue wapo kwenye falsafa na maoni ya vyama vyao basi
Mkuu nimesema kwa mujibu wa Sheria ya Mzanzibari mzee Mwnyi hata isemwe kwamba ni Mtanganyika, yeye pia ni Mzanibari. Sheria nnayoizungumza hapa ni Sheria Namba 5 ya 1985 ibara 3. (1).Kwamba, "vyovyote iwavyo, kwa sasa Mzee Mwinyi ni Mzanzibari kisheria."
Ufafanuzi wako tafadhali.
Mkuu kwahiyo ili ndiyo jibu la kiasi cha pesa iliyouzwa? Yaani tuyachukue maneno ya Benson kua ni sahihi basi...ebu acheni kushikiwa akili bhana
Mkuu kwahiyo ili ndiyo jibu la kiasi cha pesa iliyouzwa? Yaani tuyachukue maneno ya Benson kua ni sahihi basi...ebu acheni kushikiwa akili bhana
Usinukuu chochote kutoka kwa Slaa kwa sababu kwa sasa yeye ni reject.Hoja hujibiwa kwa hoja. Thibitisha unayoyasema dhidi yake. Bila hivyo anasema Dkt. Slaa, ulichoandika ni karatasi jingine la chooni tu:
Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!
Lissu ni activist mwenye knowledge ya sheria na kama kutumika alitumika kipindi cha Mwendazake ila sio sasa.Ivi ujiulizi kwanini leo wanageuka kumsifia magufuli wakati walikuwa wanamponda? Walijua huyu mama watakuwa wanapiga madili bila shida kumbe sio alipogusa bandari watu wote wameamka kuaza kufoka ni uongo mtupu wanatetea ugali wao
Kwa kweli hapa ndipo mama anapochemsha. Angeendelea kumsweka rumande mbowe na lisu akaendele kukaa huko ughaibuni haya yasingetokea.Gharama za uhuru wa kutoa maoni ndizo hizi. Kwamba mwanasiasa mmoja anawalisha matango pori wanajamii wengi na uongo wake unakuwa ukweli.
Ni gharama za kuongoza nchi ya kidemokrasia. Hayati JPM hakukubaliana na mambo ya kipuuzi kama haya.
Inategemea hio investment imekaaje🤣!Investment sio kuuzwa!!
Hii ni tafsiri yako. Mbona huzungumzii serikali ilivyokubalina na makanisa indefinitely kuyapa pesa za walupa kodi ambazo CAG hana ruhusa ya kuzikagua? Mwache mama alete waarabu kwani hawa huwa wana kheri nyingi.Inategemea hio investment imekaaje🤣!
Mtu unayempa eneo aje kuinvest ambaye hataruhusu uendeleze maeneo yako mengine yote unayomiliki na wala huruhusiwi kumletea usumbufu wowote wa hali na mali au kisheria. Hapo si umeuza uhuru wako.
Crap from a poor mind. Huelewi maana ya rasilimali za Taifa na kutegemeana ndani ya nchi.Hata hao viongozi wa Chadema walipozaliwa hamna bandari kila mtu arudi mkoa wake.. Bandari ni za watu wa pwani si mnaleta ubaguzi.
Na huuo ndio upuuzi tunao kataa haiwezekanInategemea hio investment imekaaje[emoji1787]!
Mtu unayempa eneo aje kuinvest ambaye hataruhusu uendeleze maeneo yako mengine yote unayomiliki na wala huruhusiwi kumletea usumbufu wowote wa hali na mali au kisheria. Hapo si umeuza uhuru wako.
Ona ulivyokuwa mshamba na hujielewi ...Hizi kelele za kuuzwa nchi tangu enzi za Nyerere mpaka leo.Crap from a poor mind. Huelewi maana ya rasilimali za Taifa na kutegemeana ndani ya nchi.
Bandari yaweza kuwa mahali fulani ndani ya nchi. Lakini pesa ya kuchimba kuongezea kina ikawa imetokana na kodi ya mauzo ya shahabu iliyochimbwa Geita. Gati zikawa zimejengwa kwa pesaya mkopo ambao unalipwa kwa kodi inayotokana na mauzo ya chaiinayolimwa Mafinga na c
Njombe.Machine za kupakulia mizigo zikawa zimenunuliwa kwa VAT inayotozwa kwenye sukari inayozalishwa Kilombero, Mtibwa, Kilimanjaro na Kagera, na sukari inanunuliwa na kila mwananchi. Hivyo kila mwananchi ana haki nayo.
Kwahiyo wew unamuunga mkono mtu alie lukwa akili?Lissu ni activist mwenye knowledge ya sheria na kama kutumika alitumika kipindi cha Mwendazake ila sio sasa.
Kuongezea zaidi ni binadamu huwa ana makosa yake ila kwenye hili namuunga mkono.
Reject kwako si kwa wengine ndiyo maana wakasema ganda la muwa la juzi ..Usinukuu chochote kutoka kwa Slaa kwa sababu kwa sasa yeye ni reject.
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu wanasema kila mmoja anasimamia bandari zakeHoja hupingwa kwa hoja:
Bandari zote bara zimeuzwa!
Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
Sawa washakusikiaYaani, inauma sana, hoja za msingi juu ya vipengele vya kuiuza Tanganyika viondolewe!!
Jamaa hana mvuto kamaliza hadithi zake za kupigwa risasi sasa yuko na bandari mikutano yenyewe imedoda na mbaya zaidi leo namsikia anamtaja Kitenge, Haji Manara sijui Baba levo ndio utajuwa jamaa anatembea na upepo. Sijawahi kumsikia kuja na sera zake yeye ni kuponda tu kama yule mzee mfupi Shivji, hajawahi kusema mazuri na serikali hata sijui alifanywa nini?Anajua kila kitu ila kwa makusudi anapanga kupotosha watu ,hao ndo wana wasiasa.
Wanaweza hata kumsingia mtu mauaji ili mradi tu kuleta wasiwasi kwa wananchi... kwa ufafanuzi wake sioni hoja ila naona anapotosha zaidi...
Mwacheni ajifarague muda mrefu walikua wamebanwaJamaa hana mvuto kamaliza hadithi zake za kupigwa risasi sasa yuko na bandari mikutano yenyewe imedoda na mbaya zaidi leo namsikia anamtaja Kitenge, Haji Manara sijui Baba levo ndio utajuwa jamaa anatembea na upepo. Sijawahi kumsikia kuja na sera zake yeye ni kuponda tu kama yule mzee mfupi Shivji, hajawahi kusema mazuri na serikali hata sijui alifanywa nini?
Kuna pesa wanatoa wazungu baada ya Samia kukubaliana na masharti ya kuulegezea upinzani.Kwa kweli hapa ndipo mama anapochemsha. Angeendelea kumsweka rumande mbowe na lisu akaendele kukaa huko ughaibuni haya yasingetokea.
Huruma ya waislamu wakristo wanaichezea vibaya sana.
Inabidi parejeshwe umagufuli kidogo ili watu kama Nshalla wetiwe adabu kwa kumtukana Rais.