Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Mzee Mwinyi sio Mzanzibar na hilo kathibitisha mwenyewe kwenye kitabu chake.Kusema twasema leo kwa kuwa katokea rais mzanzibari, itakuwa kutokututendea haki mkuu.
Kwani kwa kauli yako hii mbona Mzee Mwinyi aliwahi kuwa rais na hatukupiga kelele hizi?
Nyinyi mmeanza ubaguzi kwenye hili,
Kwanini msijadili mkataba badala ya Uzanzibar wa mtu.
Kumbukeni sisi wazanzibar ni wabaguzi kuliko nyinyi tukisema turejeshe majibu sio vizuri kabisa.