Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Gharama za uhuru wa kutoa maoni ndizo hizi. Kwamba mwanasiasa mmoja anawalisha matango pori wanajamii wengi na uongo wake unakuwa ukweli.Hoja hupingwa kwa hoja:
Bandari zote bara zimeuzwa!
Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
Ni gharama za kuongoza nchi ya kidemokrasia. Hayati JPM hakukubaliana na mambo ya kipuuzi kama haya.