- Thread starter
- #101
Brazaj kwanini sisi tujadili anayoyasema Lisu na tusijadili kilichosainiwa baina ya serikali hizi mbili?
Tanzania na Dubai wamesaini kushirikiana katika kuendeleza na kuboresha bandari za Tanzania baharini na maziwani ila kwa makubaliano na TPA na DPW.
View attachment 2677403
View attachment 2677407
Mkuu hapa tunajadili alichosema Lissu kwa maana ndiyo ulio msingi wa mada.
Zingatia tumekuwa tukijadili ya wengi wakiwamo hawa:
Mikanganyiko hii unaiona wewe kuwa na afya ndugu? Kila wakibadili nguo na kauli pia!
Kwani hawa serikali wamekuwa wanataka kuficha nini hasa?