Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Huyo mbarawa mpaka sasa inabidi angekuwa ameshajiuzuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anayeweza kumwamini huyo tapeli wenu wa kisiasa ni nyie mazuzu tu. Lissu maisha yake yote amekuwa mzushi, mwongo, mpotoshaji asiye na shukrani. Ndiyo maana Magu alitaka kummalizia mbali. Mtu wa hovyo kabisa ni mtu lalamishi maisha yake yote hana jambo la maana la maendeleo ameshawahi kuwafanyia binadamu mwenzake. Mi nilimdharau siku nyingi sana, sijui angekuwa mwanamke angekuwa mtu wa aina gania.Hoja hupingwa kwa hoja:
Bandari zote bara zimeuzwa!
Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
Kumbe ni Magu ndiye aliyetaka kumdedisha Mh Lissu?? Nilifikiri wasiojulikana kumbe ni Magu?? Asante sana kwa taarifa hapo Magu hatunae tena.anayeweza kumwamini huyo tapeli wenu wa kisiasa ni nyie mazuzu tu. Lissu maisha yake yote amekuwa mzushi, mwongo, mpotoshaji asiye na shukrani. Ndiyo maana Magu alitaka kummalizia mbali. Mtu wa hovyo kabisa ni mtu lalamishi maisha yake yote hana jambo la maana la maendeleo ameshawahi kuwafanyia binadamu mwenzake. Mi nilimdharau siku nyingi sana, sijui angekuwa mwanamke angekuwa mtu wa aina gania.
Acha upotoshajiMnakosea kusema Tanganyika imeuzwa, Tanganyika haijauzwa, kimsingi Tanganyika imegaiwa bure milele kwa wajomba baada ya wao kutufadhili Royal Tour.
anayeweza kumwamini huyo tapeli wenu wa kisiasa ni nyie mazuzu tu. Lissu maisha yake yote amekuwa mzushi, mwongo, mpotoshaji asiye na shukrani. Ndiyo maana Magu alitaka kummalizia mbali. Mtu wa hovyo kabisa ni mtu lalamishi maisha yake yote hana jambo la maana la maendeleo ameshawahi kuwafanyia binadamu mwenzake. Mi nilimdharau siku nyingi sana, sijui angekuwa mwanamke angekuwa mtu wa aina gania.
Kumbe ni Magu ndiye aliyetaka kumdedisha Mh Lissu?? Nilifikiri wasiojulikana kumbe ni Magu?? Asante sana kwa taarifa hapo Magu hatunae tena.
Uzushi babaaaaaKundi la pili ukiwamo wewe na Ustaadh Mwaipopo mnasema ni uzushi:
View attachment 2677205
Hudhani labda mkahakiki kwanza CV zenu?
Uzushi babaaaaa
Angalia all the government people you have left out
Hakuna kitu
Dah! Huyu jamaa ana maneno magumu huyu na huwa anaongea bila kumung'unyaHoja hupingwa kwa hoja:
Bandari zote bara zimeuzwa!
Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
Tunawahitaji sana watu kama hao kwenye ukombozi kamili wa nchi hii.Dah! Huyu jamaa ana maneno magumu huyu na huwa anaongea bila kumung'unya
Bandiko linasema
Bandari zote bara, DP World kauziwa
Ila mie ningesema au nasema
Bandari zote bara, DP World Kagaiwa bure
Isitoshe
![]()
Sio bahari ni bandari.Bahari ni jambo la muungano kasome katiba, hapo kuna kosa la kuvunja katiba live.
Ni lugha tu. Hiyo ni sawa sawa na Bure. Watanzani tumewekeza zaid ya trillioni 3Tshs katika Bandati zetu halafu tuje tulipe huo mkopo wenyewe na usiuite Bure?
Ngoja tuwasubirie kwa maana Joni aka ustaadh kasema elimu siyo muhimu sana kuhusiana na mauzo 🤣🤣
Kiukweli sina ushabiki katika Hili ILA tunahitaji majibu yenye ushawishi.
Nimemsikiliza prof. Issa shivj, wakili mwabukusi na Tundu lissu lakini nikamsikiliza mwanasheria wa serikali binafsi bado sijaelewa na alikuwa akijibu in a simple way.
Kama wapo wanasheria naona wangejibu hoja kwa hoja ILI kuondoa mkanganyiko kwa wananchi.
Hapo kwenye elimu ya juu kuna Wazanzibar kibao wanasomeshwa kwa kodi toka bara, sasa mradi ambao Zanzibar haufiki ni upi? Pia kila kitu tugawane sawa wakati Bara kuna watu 20 Zanzibar mmoja. Zingatia uwiano wa eneo.Sio bahari ni bandari.
Lakni mbona mengine hamsemi mfano elimu ya juu ni jambo la muungano lakini serikali haijawahi kujenga hata chuo kimoja Zanzibar.
Kilimo sio jambo la muungano lakini Zanzibar haiwez kushiriki vikao na FAO na kama kuna miradi yote inafikia Tanganyika hamuikumbuki Zanzibar basi na hili libebeni tu.
Sio suala hili tu mfano takwimu ni suala la Muungano lakini mbona Zanzibar kuna taasisi yake inayoshughulikia takwimu, hapa suala siyo bandari suala ni ubaguzi tu. Tangu Rais Samia aingie madarakani tunajua kuna baadhi ya watu hawakupendezwa kuongozwa na mzanzibar na hilo linajidhihirisha sasa hivi...bandari ni suala la muungano, lakini Znz waliamua kuwa na mamlaka yao ya bandari kinyume na katiba.
..sasa baada ya Znz kuwa na mamlaka yao ya bandari si sahihi kuteua Wazanzibari kushughulikia bandari za TANGANYIKA.
..Kuteua Wazanzibari ktk wizara zisizo za muungano ni kukiuka makubaliano ya muungano, na kuwadhulumu Watanganyika.
..Hiyo ndiyo hoja ya Lissu na wenzake kuhusu Wazanzibari ktk suala la bandari za Tanganyika.
Nikimaanisha majibu upande wa mwanasheria mkuu wa serikali ni mepesi na sijaona hoja alizotoa shivj zikijibiwa ndo mana nasema sijaelewaLissu hujawaelewa? Huyu naye hujamwelewa?
Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!
Zaidi sana kuna na mpiga kura huku:
View attachment 2677572
Isije Kuwa hutaki tu kuelewa ndugu?
Tambua tofauti ya kutoelewa na kutotaka kuelewa.
Haki za nchi hazipimwi kwa geography wala demography mbona Kenya na Tanzania zina ukubwa tofauti lkn zina haki sawa kwenye jumuiaya ya Afrika MasharikiHapo kwenye elimu ya juu kuna Wazanzibar kibao wanasomeshwa kwa kodi toka bara, sasa mradi ambao Zanzibar haufiki ni upi? Pia kila kitu tugawane sawa wakati Bara kuna watu 20 Zanzibar mmoja. Zingatia uwiano wa eneo.