LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

Brazaj kwanini sisi tujadili anayoyasema Lisu na tusijadili kilichosainiwa baina ya serikali hizi mbili?
Tanzania na Dubai wamesaini kushirikiana katika kuendeleza na kuboresha bandari za Tanzania baharini na maziwani ila kwa makubaliano na TPA na DPW.
View attachment 2677403
View attachment 2677407

Mkuu hapa tunajadili alichosema Lissu kwa maana ndiyo ulio msingi wa mada.

Zingatia tumekuwa tukijadili ya wengi wakiwamo hawa:

Fz29TuwWIAMvY1o.jpeg


Fz29UR6WAAAfh9G.jpeg


Mikanganyiko hii unaiona wewe kuwa na afya ndugu? Kila wakibadili nguo na kauli pia!

Kwani hawa serikali wamekuwa wanataka kuficha nini hasa?
 
Jamani tunaitaji kufungua akili zetu izi hofu tulizojazwa zinakwenda kutuweka pabaya haiwezekani kila kina kinachokuja tukisujudu tu tunawezaje kuiabudu noti hizi ikiwa wazee wetu waliishi bila hizo noti mwenye kujua historian ya kilwa naomba anipe kidogo maana tunapotezezwa pasipo mafikirio ya mbali kwa mtazamo wa haraka vizazi vyetu vijavyo vitakua wakati mgumu mno katiba mpyaaaaaaaa tunaitaji tujipambanie wenyewe hatuitaji msaada wa mzungu kwani sisi wenyew tunaweza kujisimamia pia
 
Sio kwamba bandari za Zanzibar hazina faida ila Rais Samia anaongoza nchi ipi?
Hawezi kuingilia mamlaka ya Zanzibar na hilo Lissu anajua kama mwanasheria. Sasa anapotokea mtu akasema maneno lazima upime kama ni mzima kiakili.
Rais anatumikia Jamhuri ya Muungano haijalishi anatoka upande gani.

..bandari ni suala la muungano, lakini Znz waliamua kuwa na mamlaka yao ya bandari kinyume na katiba.

..sasa baada ya Znz kuwa na mamlaka yao ya bandari si sahihi kuteua Wazanzibari kushughulikia bandari za TANGANYIKA.

..Kuteua Wazanzibari ktk wizara zisizo za muungano ni kukiuka makubaliano ya muungano, na kuwadhulumu Watanganyika.

..Hiyo ndiyo hoja ya Lissu na wenzake kuhusu Wazanzibari ktk suala la bandari za Tanganyika.
 
Hata hao viongozi wa Chadema walipozaliwa hamna bandari kila mtu arudi mkoa wake.. Bandari ni za watu wa pwani si mnaleta ubaguzi.
Wewe huna tofauti na yule Mbunge Musukuma aliyepata Ubunge kwa matunguli.
 
Hata hao viongozi wa Chadema walipozaliwa hamna bandari kila mtu arudi mkoa wake.. Bandari ni za watu wa pwani si mnaleta ubaguzi.

Ukweli mchungu:



Mwenye masikio na asikie.
 
Point. ! Na hiyo ndio inayopelekea pia baadhi ya watu kufanya conclution ya kwamba hii yote ni Udini Udini tu !!

Ni vyema tukatumia majina na vyeo vya watu tunaotaka ama kuwakosoa ama kuwasifu badala ya kutumia kabila au nasaba ya mtu au kule watokako !!

Baada ya muungano wa 1964 sisi sote tunatambulika kama Watanzania !! Haijalishi wewe ni mzanzibari au ni mtanganyika by origin !
Kilichosababisha haya yote ni wahusika wenyewe yaani Rais, Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara husika. Wote watatu wametoka upande mmoja. Bandari iliyoingizwa kwenye Mkataba ni wa upande tofauti na maeneo yao wanakotoka. Huku Bandari ya upande wao wakiweka pembeni. Hapo ni Nani Wabaguzi????
 
Kilichosababisha haya yote ni wahusika wenyewe yaani Rais, Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara husika. Wote watatu wametoka upande mmoja. Bandari iliyoingizwa kwenye Mkataba ni wa upande tofauti na maeneo yao wanakotoka. Huku Bandari ya upande wao wakiweka pembeni. Hapo ni Nani Wabaguzi????

..tatizo lingine wenzetu hawapendi kuitwa Watanzania wanataka kudumisha utambulisho wao wa UZANZIBARI.

..sasa hasara za utamaduni na tabia hiyo ndio hiki tunachokishuhudia sasa hivi. Kwamba akipatikana kiongozi toka Zanzibar kuongoza Tanzania wananchi wanajisikia kuwa wanaongozwa na mgeni.
 
Hatujaacha kutambua au kurejea alikozaliwa rais na hakuna jipya hapo. Hoja ya Lissu so alikozaliwa rais.

Bitiama, Lupaso, Msoga, Chato nk kupo kwenye rekodi tunakutumbua na haijawahi kuwa taabu.

Zingatia teuzi zilipojikita Kanda ya ziwa tulisema. Hapa tunasema aliyeuza bandari za bara ni mzanzibari labda kama wewe unadhani ni mtu wa bara?

Mkuu hakuna mtu anayeweza kutusaidia hayo maswali maana naona una hoja ILA BADO ujapata mtu sahihi wakubishana nae.

Hakuna wanasheria watujibie haya maswali?
 
Mkuu hakuna mtu anayeweza kutusaidia hayo maswali maana naona una hoja ILA BADO ujapata mtu sahihi wakubishana nae.

Hakuna wanasheria watujibie haya maswali?

Ngoja tuwasubirie kwa maana Joni aka ustaadh kasema elimu siyo muhimu sana kuhusiana na mauzo 🤣🤣
 
Mh 🤔 ngoja manguli wa mikataba waje akina.. Lord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMARS tuone wanadadavua vp kisheria!!
Hawo wote ma fisi kwenye orodha yako wekula hongo.Faizafoxy siku hizi ameanza kutafuna nguruwe na ashushia bapa kwa hela za hongo nilimuona Corner Bar.
 
Back
Top Bottom