Kuna pesa wanatoa wazungu baada ya Samia kukubaliana na masharti ya kuulegezea upinzani.
Mojawapo ya masharti ni kukubaliana na demokrasia. Mtihani mgumu kwani kwa kukubaliana na demokrasia unakuwa umejengeka urahisi wa kuingiliwa kwenye siasa za ndani.
Ni muda wa mfumo kuwa na watu makini sana, adui anakuwa karibu zaidi kulinganisha na kipindi kile cha JPM.