Pre GE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona heading yako umesema ipo kaputi na maelezo hatuoni sehemu lissu kasema hivo
 
Mbona heading yako umesema ipo kaputi na maelezo hatuoni sehemu lissu kasema hivo
Mkuu huyo ndio Lissu naona mpaka umepata upofu ghafla 😅😅

Lissu piga kwenye mshono siasa za ujanja ujanja zinaenda kuzikwa chadema
 
Tatizo la Lissu ltk hili remote controlled by msigwa
Sio kweli hata kidogo, mmeanza kumchafua Lissu baada ya kuona anatishia nafasi ya Mbowe.

Una taarifa kuwa Msigwa na Mbowe walivuta mpunga kule Iringa kwa asasi pamoja na Lissu akaukataa na alitoka hadharani na kusema Pesa za Mama Abdul zinaivuriga Chadema?

Kua kwanza huwezi elewa michezo michafu ya Mbowe.
 
Ujumbe uende kwa Nkurunzinza mbowe msanii mzuri anajua muda sahihi wa kuacha jukwaa
 
TL inteligence kubwa sana
 
Hujasoma gazeti la mwananchi la juzi. Kwamba msigwa ndio mpanga mikakati ya lissu

..Msigwa yuko Ccm akimsifu Mama Samia.

..Lissu yuko Chadema akimshambulia Mama Samia.

..sasa haiingii akilini kudai Lissu na Msigwa wana mkakati wa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…