Lissu, do you think you are that much of a threat to Samia regime/Government to the extent of silencing you by bribing you, tena kupitia Abdul!

Ila kidhungu unakipenda chanyewe hakikupendi.
 
Anataka kujipa umuhimu ambao hana.

By the way Rais alishasema ustaarabu ukiwashinda Machadema sheria zile zile zilizotumika by then Bado zipo so huyo Kibaraka wa Wazungu asijipe umuhimu ambao hana wakati anaweza kushughulikiwa na hana Cha kufanya.

Juzi tuu ametoka kulalama,asimchague Rais linapokuja suala la Kampeni zao na akukbuke ni Samia huyo huyo alimtoa Ubelgiji akitaka amrudishe huko anaweza hata Sasa.
 
Abdul, nenda k edit weka herufi ndogo we bata
 
Mkuu tangu awamu ya 4, lissu amekua threat kwa watawala coz mwamba haogopi wala hakopeshi ktk kuusema ukweli hata kama ni mchungu bila kujali kitakachomkuta.
 
Hapana,nadhani ameamua kuongea ukweli tu mkuu ...asilaumiwe
 
Yote alofanyiwa lissu, ni yake kama mtanzania, na si hisani ya samia.
 
Chambuzi la kiintelijensia toka Kizimkazi
 
uzi fikirishi....mimi ni chadema damu damu, fuatilia machapisho yagu hapa JF.....One of my favorite politicians is LISU, kabla ya kuwa kichaaa kama alivyo sasa kwa kukosa kaba ya ulimi! kugeuza mdomo wake kuwa mtara wa maji machafu
Lissu anaongea anachokifahamu. Sisi CCM tunampenda na kumtaka Mbowe.
 

Akili yako ndogo sana kijana unajiabisha tu! Darasa la ngapi wewe?
 
Acha vitisho mbuzi! Mtu mzima hatishiwi nyau!
 
Yote alofanyiwa lissu, ni yake kama mtanzania, na si hisani ya samia.
Nyie wapambe mtamdanganya huyo bimdogo wa Amsterdam Kama atawasikiliza .Kama anajua sio hisani ya Samia Kwa nini amtake Samia ku guarantee usalama wake? Hapo Samia anashindwa kumrudisha Kwa Amsterdam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…