Kwa Tanzania wapiga kura hawana jibu.wenye majibu ya ushindi ni Tume ya uchaguzi,polisi na Tiss fullstopHuwezi jua hilo, ni maombi yetu., mimi na wewe na inawezekana.....lakini jibu kubwa wanalo wapiga kura!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania wapiga kura hawana jibu.wenye majibu ya ushindi ni Tume ya uchaguzi,polisi na Tiss fullstopHuwezi jua hilo, ni maombi yetu., mimi na wewe na inawezekana.....lakini jibu kubwa wanalo wapiga kura!
Ila kidhungu unakipenda chanyewe hakikupendi.Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Sasa na wew si ni wa buku 5Mbona kama unahaha ? Utulie tu ? Au ndio zile buku 10 kaziniiiii
Anataka kujipa umuhimu ambao hana.Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Ni buku 20 Kwa Sasa ila ametoa tahadhari tuu asije Rudi kule alokokuwepo kabla.Mbona kama unahaha ? Utulie tu ? Au ndio zile buku 10 kaziniiiii
Usisele TL, sema chizi TLUnarukia train kwa mbele.....tulia TL atasema yoote mbona una pressure ?? Muda mwalim mzurii....
Abdul, nenda k edit weka herufi ndogo we bataSidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Mkuu tangu awamu ya 4, lissu amekua threat kwa watawala coz mwamba haogopi wala hakopeshi ktk kuusema ukweli hata kama ni mchungu bila kujali kitakachomkuta.Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Mbowe damuMimi ni chadema damu damu for your information......
Yote alofanyiwa lissu, ni yake kama mtanzania, na si hisani ya samia.Anataka kujipa umuhimu ambao hana.
By the way Rais alishasema ustaarabu ukiwashinda Machadema sheria zile zile zilizotumika by then Bado zipo so huyo Kibaraka wa Wazungu asijipe umuhimu ambao hana wakati anaweza kushughulikiwa na hana Cha kufanya.
Juzi tuu ametoka kulalama,asimchague Rais linapokuja suala la Kampeni zao na akukbuke ni Samia huyo huyo alimtoa Ubelgiji akitaka amrudishe huko anaweza hata Sasa.
Chambuzi la kiintelijensia toka KizimkaziSidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Lissu anaongea anachokifahamu. Sisi CCM tunampenda na kumtaka Mbowe.uzi fikirishi....mimi ni chadema damu damu, fuatilia machapisho yagu hapa JF.....One of my favorite politicians is LISU, kabla ya kuwa kichaaa kama alivyo sasa kwa kukosa kaba ya ulimi! kugeuza mdomo wake kuwa mtara wa maji machafu
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Acha vitisho mbuzi! Mtu mzima hatishiwi nyau!Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Nyie wapambe mtamdanganya huyo bimdogo wa Amsterdam Kama atawasikiliza .Kama anajua sio hisani ya Samia Kwa nini amtake Samia ku guarantee usalama wake? Hapo Samia anashindwa kumrudisha Kwa Amsterdam?Yote alofanyiwa lissu, ni yake kama mtanzania, na si hisani ya samia.
Wewe ni mbowe?Mimi ni chadema damu damu for your information......
Kimeumana Menyewe kwa menyewe alisikika mzee patel!Jibu hoja, jibu hoja nitakuona wa maana kuliko singeli hizi za mipasho ya akina mama !